Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Ama machakos vs zanzibar real estate, chagua moja Sama boy 255
Ukweli unauma, nyie wenyewe mmejifumania, Kila kitu mmeweka wazi dunia itazame maneno mengi wacha, mkificha, mzungu anawamulika kupitia google earth., Vumilia tu, uongo wenu ulifika mwisho.😂😂😂😂Mzee wa kujifurahisha hongera
Hii outlet itakuwa inalisha the +57 mln Wakunya sio?Wanasema hatukuli Kuku lakini KFC zinafunguliwa kwa our estates kila siku.
![]()
Tafadhali usiniulie mjukuu wangu, namhitaji, ata ni tag sgr yao ya umeme ikifika ili niwapongeze, tafadhali muache atulie tu😂😂😂😂😂😂😂Ama machakos vs zanzibar real estate, chagua moja Sama boy 255
We jamaa unajiskiaga upumbavu unaozungumza.? Kwamba unalinganisha Dar na mombasa au.? 🤣🤣🤣 Wanakula tako wewe sio bureUkweli unauma, nyie wenyewe mmejifumania, Kila kitu mmeweka wazi dunia itazame maneno mengi wacha, mkificha, mzungu anawamulika kupitia google earth., Vumilia tu, uongo wenu ulifika mwisho.😂😂😂😂
According to hii report,97 % Kenyans are vegetarians hizo fast food zimejaa all over zinauzia foreigners pekee. 🤣 🤣 🤣
He he. Amesema aside nairobi, hakuna real estate kushinda Znb, laughable.Tafadhali usiniulie mjukuu wangu, namhitaji, ata ni tag sgr yao ya umeme ikifika ili niwapongeze, tafadhali muache atulie tu😂😂😂😂😂😂😂
Wewe acha ufaller tupo Nairobi kila mara, kwanza restaurants zenu hamjua hata mapishi.Fast food restaurants ni mingi sana Nairobi na kama zote wanauza chips na kuku. Dar haiwezi karibia Nairobi kwa number of fast foods, nyinyi munakula zile kuku mwitu za kuchomwa kwa streets kama Mombasa, Nairobi hizo kuku mwitu ni popular sana kwa low income areas. Middle class suburbs fast food restaurants ndio mingi.
Unachukua kasehenu kujiliwaza tu., Dar ukubwa wake na upana tunajua ni nini., Town coverage wachana nayo, Mombasa imeilambisha sakafu., Dar ni picha ya ufukara, ni kasehenu ka CBD kanaficha aibu, so relax. Video clips, google earth, pics ziko mingi tu😂😂😂Mombasa beibee 😂😂👇View attachment 2264999kichaa mmoja anailinganisha na Dar yani hapa 👇View attachment 2265000hujiskii aibu.? We kilaza Don YF .? Tofauti yake ni peponi na matoni 🤣
Swala la Wamaasai kufurushwa Ngorongoro linazungumzwa dunia nzima. Hii hapa SABC
Mbona kama zinafananaMombasa beibee 😂😂👇View attachment 2264999kichaa mmoja anailinganisha na Dar yani hapa 👇View attachment 2265000hujiskii aibu.? We kilaza Don YF .? Tofauti yake ni peponi na matoni 🤣
Hee..! We jamaa kumbe upo serious hatari sana 🤣🤣Unachukua kasehenu kujikiwaza tu., Dar ukubwa wake na upana tunajua ni nini., Town coverage wachana nayo, Mombasa imeilambisha sakafu., Dar ni picha ya ufukara, ni kasehenu ka CBD kanaficha aibu, so relax. Video clips, google earth, pics ziko mingi tu😂😂😂
Anajichocha tu, he is a blind patriot, ata catch mafeelings ukiendelea kumchokora, he is stupidly sentimental about Tz to engage any reason, the tone in his responses 😂😂😂😂😂,He he. Amesema aside nairobi, hakuna real estate kushinda Znb, laughable.
I don't joke Omera!.,Hee..! We jamaa kumbe upo serious hatari sana 🤣🤣
Thank you, wacha nijipe shughli pia., adios amigo!Am off, kaogopa battle yake mwenyewe.
Oky fine for example this is East Upanga and posta 👇Unachukua kasehenu kujikiwaza tu., Dar ukubwa wake na upana tunajua ni nini., Town coverage wachana nayo, Mombasa imeilambisha sakafu., Dar ni picha ya ufukara, ni kasehenu ka CBD kanaficha aibu, so relax. Video clips, google earth, pics ziko mingi tu😂😂😂