Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Kumbe siku hizi 2 mln ya Kenya ni Tsh 18mln,๐๐๐๐., unatamani lakini wapi., Tanzania ni fukara tu bado..,Au imeongeza kitita kwa mshindi wa kwanza Kenyan league toka Tshs 18 mln?
Kumbe siku hizi 2 mln ya Kenya ni Tsh 18mln,๐๐๐๐., unatamani lakini wapi., Tanzania ni fukara tu bado..,Au imeongeza kitita kwa mshindi wa kwanza Kenyan league toka Tshs 18 mln?
Records zinaonyesha tuliwapiga na hio ndio muhimu ju bado hamjavunja hio record.Tambe Ndio nani? Kwenye suala la soka kwa ss upande wa vilabu sina haja ya kuongelea Kenya, Tz kwa ss tunaongelea ligi kubwa kama champions league, usitegemee bingwa wa Tanzania akaja kucheza ligi za kipumbavu mshindi anapewa milioni 10 alafu aweke kikosi kizima, nyinyi kama mna makende pelekeni timu zenu champions na mjitahidi mfike makundi alafu mkutane na ma giants wa Tz muone. By the way Tz inapeleka timu 4 mashindano makubwa, nyie mnapeleka ngp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hawa hawakuondoka tangu kipindi kile?
Lishamba linakuaga limechanganyikiwa siku zote๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐There's no any single City in Kenya kando ya Nairobi which can battle Zanzibar when it comes to real estate development
Timu zote kubwa duniani zinaanza kugombea nafasi ya kukwea kileleni mwa mt Kilimanjaro, great move.
Sidiligi na empty talks tena .. we Njoo na picha au video tayari kwa kujitetea, mombasa Iko na guts za kushindana na Zanzibar likija suala la real estate .?Maneno yangu yamekuumiza mpaka sasa. Heal my fren
Kumbe huwa unasomaga juu juu ๐๐๐, leta real estate kunako mombasa nikupe kichapo cha burukenge kutoka Zanzibar .. kama una pumbu nyoosha kidole juu jifanye kama unajikuna nikusyoroshe mchana kweupeLishamba linakuaga limechanganyikiwa siku zote๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Sasa nenda uwaambie hawa wabadilishe waiweke Kenya juu ya Uganda kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fast food restaurants ni mingi sana Nairobi na kama zote wanauza chips na kuku. Dar haiwezi karibia Nairobi kwa number of fast foods, nyinyi munakula zile kuku mwitu za kuchomwa kwa streets kama Mombasa, Nairobi hizo kuku mwitu ni popular sana kwa low income areas. Middle class suburbs fast food restaurants ndio mingi.
Wewe ni mpumbavu kupindukia,๐๐๐๐๐., unaandika kwa maumivu kisa huwezi kubadili ukweli., mjukuu nenda beach ukazubae kule ukidanganya vilaza wenzako.,๐๐Kumbe huwa unasomaga juu juu ๐๐๐, leta real estate kunako mombasa nikupe kichapo cha burukenge kutoka Zanzibar .. kama una pumbu nyoosha kidole juu jifanye kama unajikuna nikusyoroshe mchana kweupe
Hii we jamaa picha za real estate ndio nataka mimi sio maneno matupu ..kwa mfano hii nikuchokonoe kidogo ๐ Zanzibar beibWewe ni mpumbavu kupindukia,๐๐๐๐๐., unaandika kwa maumivu kisa huwezi kubadili ukweli., mjukuu nenda beach ukazubae kule ukidanganya vilaza wenzako.,๐๐
Huyo kijana wa nyumba za squatter hua amechanganikiwa sana. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃLishamba linakuaga limechanganyikiwa siku zote๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Waonaje tufanye kajiado vs zanzibar real estate?Sidiligi na empty talks tena .. we Njoo na picha au video tayari kwa kujitetea, mombasa Iko na guts za kushindana na Zanzibar likija suala la real estate .?
Kichapo cha Zanzibar nilichoandaa leo kitaleta heshima kwa wakunya wote waliomo kwenye huu uzi ..sitaki excusesHuyo kijana wa nyumba za squatter hua amechanganikiwa sana. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
THE CONCRETE JUNGLE OF EAST AFRICA
Ama tufanye kiambu vs zanzibar real estate, unaonaje ?Hii we jamaa picha za real estate ndio nataka mimi sio maneno matupu ..kwa mfano hii nikuchokonoe kidogo ๐ Zanzibar beib View attachment 2264987leo nimejipanga utakula kichapo hadi upotee humu kenge wewe ๐๐
Mzee wa kujifurahisha hongeraWatch this clip kwa big screen., get on flash then stick in your flat screen ama stream if u have a smart TV, Dar ni aibu., ukipita the small CBD, then u get to flats n uswazi., balaa!๐๐๐๐
Mombasa imeweza๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ
View attachment 2264989
Kajiado ata Dar itahema sembuse king of uswazi Zanzibar Tanzania's bedrock of poverty and semi -illiteracy.,๐๐๐๐, unaijua Zanzibar wewe, fikra za watu wa mitaani!.,๐๐๐๐Waonaje tufanye kajiado vs zanzibar real estate?