Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,688
- 107,131
Hiv wakenya wa humu kwanin hampigag picha zenu wenyewe za matukio yoyote mnayoyaona barabaran au popote? Hamna usafir binafsi? Hamtembei tembei? Camera za simu mbovu? Angalau ukipita hata chin ya expressway muwe mnafotoa tu.. sis tukipita hata ile BRT ya kimara kibaha tunafotoa tu.. jengo lolote nzur tunafotoa tu na kupost humu..
ila wenzetu sasa picha zao nyingi ni za kudownload kutoka mtandaon
Anywah leo nimefotoa hizi kutoka salad for days..masaki..mtoko😄View attachment 2265163
View attachment 2265165
Page yao IG ni hii
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.instagram.com
Watu wa pwani wanajua mapishi mkuu sio Mungiki wa bara huko Nairobi na kwinginekoMombasa tumebarikiwa, hauhitaji pesa nyingi kula vyakula vitamu, ukitembea kwa streets utapana na bajia, shawarma, viazi karai, mkate wa sinia, haluwa, samaki wa kupaka etc
Asante kwa kukubali kwamba Nairobi imeishinda Dar kwa maendeleo. Wenzako hawatafurahia kauli yako lakini ulichosema ndio ukweli.No brother, kwa taste tumewapita mbaali sana, mnachotuzidi zaidi ni bei.
Pia to be honest Nairobi ni jiji zuri sana sana...hii battle ya Watz na Kenya ni kujitoa ufahamu tu.
Wacha nikueleze kitu, geothermal power sisi hatutaiwacha. In fact tutaendelea kuzalisha zaidi hadi ifike 5,000 MW. Wewe subiri utaona.Mara kwa mara huwa ninakuambia wewe ila bado hubadiliki, ninyi mnadhani kila kinachofanyika Kenya ndio sahihi na nchi zingine zote zinapaswa kufanya hovyohivyo.
Huu ujinga wako wa kutojua Mambo usikufanye ukajifedhehesha, Umeme wa maji ni ×3 cheaper than Geotherm, umeme wa maji unaweza kuzalisha umeme mwingi kwa wakati mmoja.
Bwawa la Ethiopia na Tanzania yakikamilika, Kenya italazimika kununua umeme na kufungua baadhi ya visima vya Geotherm, konyume cha Hilo, viwanda vya Kenya havitoweza kushindana na Ethiopia na Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi sio mwanasiasa so uongo haunihusu.Asante kwa kukubali kwamba Nairobi imeishinda Dar kwa maendeleo. Wenzako hawatafurahia kauli yako lakini ulichosema ndio ukweli.
Cc The best 007 chongchung coodip1
Asante kwa kuwa mkweli. Huo ndio uungwana. Sio watu wanaopinga tu hovyo na hata hawajafika Nairobi wajionee kwa macho.Mimi sio mwanasiasa so uongo haunihusu.
Dar ni moja ya jiji la hovyo kabisa, atateta mtu ambaye hajavuka border na hana exposure yoyote kimataifa.
Uzuri wa Westland huwezi kufananisha na chochote EA nzima
Usisahau kuwa pia pamoja na jitihada zenu za kujenga jiji lenu lkn mna roho mbaya sana😂Asante kwa kuwa mkweli. Huo ndio uungwana. Sio watu wanaopinga tu hovyo na hata hawajafika Nairobi wajionee kwa macho.
Hahaha. Mbona umesema hivyo? Tumefanya nini?Usisahau kuwa pia pamoja na jitihada zenu za kujenga jiji lenu lkn mna roho mbaya sana😂
do u realy knw thika, have u ever heard of kitengela, ngong, nakuru, eldoret wewe...There's no any single City in Kenya kando ya Nairobi which can battle Zanzibar when it comes to real estate development
Shida wa Wakenya bwana hamna ukarimu wowote. Nakumbuka nikiwa mgeni Nairobi nilikuwa natafuta spare ya gari yangu.Hahaha. Mbona umesema hivyo? Tumefanya nini?
Pick mji mmoja kati ya hiyo uliyoitaja alaf tushuke grounddo u realy knw thika, have u ever heard of kitengela, ngong, nakuru, eldoret wewe...
Wachana na huyo hajui sahii scientist are busy researching how to extract lithium from geothermal. Na hio ndio itakua game changer kwa energy industry and it will lead a whole new industrial revolution.Wacha nikueleze kitu, geothermal power sisi hatutaiwacha. In fact tutaendelea kuzalisha zaidi hadi ifike 5,000 MW. Wewe subiri utaona.
Wachana na huyo hajui sahii scientist are busy researching how to extract lithium from geothermal. Na hio ndio itakua game changer kwa energy industry and it will lead a whole new industrial revolution.
![]()
Mjiandae kufunga viwanda kwasababu "costs of production", zitakua kubwa Sana ukilinganisha na Tanzania au Ethiopia, Tanzania tutaendeleza ubabe wa kuwa "Biggest exporter" ktk ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha nikueleze kitu, geothermal power sisi hatutaiwacha. In fact tutaendelea kuzalisha zaidi hadi ifike 5,000 MW. Wewe subiri utaona.