Mm nakuambiaje Geza kama nitakufa alafu nitamkuta John pombe Joseph Magufuli jehanam basi na mm nitaongoza njia ya motoni mana kutakuwa hakuna maana ya kutenda wema duniani. Yani ufanye mema 100,000 upelekwe motoni kwa mabaya 10 tena mabaya yenyewe ni kwasababu hakuna jinsi lazima uyafanye. Sasa nakuambia JPM yupo peponi ila nikigundua yupo motoni basi mm ni miongoni mwao hao wanaoenda motoni.
Na kama nitagundua yupo motoni kipindi ambacho mm bado nipo duniani basi sitatenda mema tena, haitokuwa na maana.