Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Izo gari hua zipo kila mkoa au itatembea hadi Dodoma?
Cha ajabu nn? Kwahiyo asiwahi Dodoma kwa ajili ya kusaini mkataba wa LNG kesho? Wacheni petty politics aisee! Au JPM alikuwa hafanyi haya? Au JPM alikuiwa anapanda ndege na magari ?
 
Matunda ya The Royal Tour. Povu ruksa.
Screenshot_20220610-210836_Instagram.jpg
 
elimu yako ni level gani mzee? Naomba kuuliza maana hili swali lako ni tope!
Kwani wewe ni mwanamke au mwanaume? Mana nahisi wewe ni demu co kwa mdomo wa mipasho kama huu, huyo aliteuliwa kuchukua nafasi ya yule mzungu pale NMB, now amepewa teuzi nyingine sasa toa jibu kama ulivyoulizwa usiwe na majibu ya kisengesenge kama shoga.
 
Geza Ulole usikubali mtoto mdogo kama huyu ambae bado ananuka maziwa akukosee heshima,
 
Kwani wewe ni mwanamke au mwanaume? Mana nahisi wewe ni demu co kwa mdomo wa mipasho kama huu, huyo aliteuliwa kuchukua nafasi ya yule mzungu pale NMB, now amepewa teuzi nyingine sasa toa jibu kama ulivyoulizwa usiwe na majibu ya kisengesenge kama shoga.
Nauliza tena level ya elimu yako! Unaweza kukuta na-chat na school drop out asiyejua nini maana ya board management!
 
Nauliza tena level ya elimu yako! Unaweza kukuta na-chat na school drop out!
Usiwe na tabia ya kipumbavu kama hiyo kuna wakati jibu vile inavyotakiwa usiwe mpumbavu and you know me huwa sikopeshi wanaume wanao act umama kama ww.
 
Shughulisha akili yako zembe ili upate ufahamu wa maana ya board na si kuropoka tu! Kila kitu cha mama upo negative mpaka unashindwa kudadavua kilichoandikwa!
 
Back
Top Bottom