Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli mkuu hawatumii ubinadamu kabisa kwenye kuratibu hili zoezi japo population ya wakaazi Ngorongoro inapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili, njia za busara zitumike zaidi ya mabavu!
 
Ni kweli mkuu hawatumii ubinadamu kabisa kwenye kuratibu hili zoezi japo population ya wakaazi Ngorongoro inapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili, njia za busara zitumike zaidi ya mabavu!
Hivi mnamjua huyu mtu[emoji117] ROSTAM AZIZI au mnamsikia tu
 
Katafute census report yetu utaona kila nyumba Kenya haikosi kuku. Duniani kuku ni wengi kuliko binadamu.
Anything on paper for Kenya I dont trust I have seen alot of stuffs that don't rhyme with situation on the ground.
 
Ni kweli mkuu hawatumii ubinadamu kabisa kwenye kuratibu hili zoezi japo population ya wakaazi Ngorongoro inapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili, njia za busara zitumike zaidi ya mabavu!
Ni kweli serikali kama kweli wanataka kuwatoa Wamasai na kuwapa waarabu (wawekezaji) hio ardhi hamna sababu ya kutumia nguvu . Ni kuweka kikao na wananchi kila jambo liwe open final mwekezaji hawajengee makazi mbadala . Serikali kuwa middle man wanapata lawama hapo maana uadilifu wa civil servants hauwezi kuwa sawa . Hakuna sababu ya kutumia vitisho . Power is nothing without control
 
Sasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sana
Hawa wamasai wa tz wako Kila mahali Kenya wakiuza madawa na vibuyu plus sandals!
Seems Ni maskini sana hadi wanavuka border!!!
Na wako na sura za kiturkana not like Kenyan maasais especially narok ones
 
Hawa wamasai wa tz wako Kila mahali Kenya wakiuza madawa na vibuyu plus sandals!
Seems Ni maskini sana hadi wanavuka border!!!
Na wako na sura za kiturkana not like Kenyan maasais especially narok ones
Hasira hasara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mjinga uyo acha akapumzike analeta umafii na chuki za kitoto
 
Hongera umecomment vyema mkuu, kuliko yule mjinga wa kwenu sijui coco anandika kama anahara. Mbona tuanenda pabaya haraka hivi?...kweli usimamizi umekuwa wa hovyo kiasi hiki?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…