Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama jambazi no 1 east africa kaachiwa na serikali ya kifisadi ya huyu mjambiani mpumbavuu kwanini unataka sabaya afungwe ....yani haachiwe baraba na yesu asurubiwe....sijui kama unamjua huyo jambazi singasinga.
 
Inflow ya oil investment mbona ipo Uganda kwa muda! Hebu fanya uchunguzi refinery n oil exploration n acquisitions in Hoima around Lake Albert! Imeongiza blns of US $!
 
Kwahiyo wewe unafikiri nchi ni masikini kwa sababu ya nini au sababu ya wamachinga ....umasikini au utajili wa nchi yoyote ile ni matokeo ya wafanyakazi wa serikali
Wewe leo umeweza kuandika bila matusi hongera sana
 
Pumba! sjamaliza kusoma ata
 
Hii video nimeisikiliza na imenihuzunisha sana. Huyo Sabaya ni shetani wa aina gani? Na mbona aruhusiwe kunyanyasa wafanyibiashara namna hii?
Sabaya mtu wa hovyo sana,lakini sahivi anatia huruma japo yeye hakua na huruma kwa hawa wafanyabishara...anastahili kuendelea kupata dose
 
Inflow ya oil investment mbona ipo Uganda kwa muda! Hebu fanya uchunguzi refinery n oil exploration n acquisitions in Hoima around Lake Albert! Imeongiza blns of US $!
Wow sikuwa na habari. Wacha nitafanya uchunguzi zaidi nikipata muda.
 
hivi inanibamba sana jinsi wabongo kidogo wakiona muundo msingi una iga xpressway kwa umbali, yani inawapa afueni aisee, wanachangamka sana.!πŸ”₯ πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
 
Burigi Chato Hotel U/C in Chato 82 km toka lake Burigi 16 km from Biharamulo Town!



MY TAKE
Mradi wa Tshs 11 bln bila ya ESIA!
 
hivi inanibamba sana jinsi wabongo kidogo wakiona muundo msingi una iga xpressway kwa umbali, yani inawapa afueni aisee, wanachangamka sana.![emoji91] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji1427][emoji1427]View attachment 2254258
Imagine hapa ndio mwisho wa SGR na ndio main station[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani danganyika hakuna mpangilio kila kitu kimechanganyikiwa. Reli haina connection ya port na marshalling yard iko 100km from Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika hizi brands kuna big Benz brand hapo kama hii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanini Benz sio luxury?
 
Wananchi wa Biharamulo wagomea jina la Burigi Chato Natioral Park! Samia awaahidi gate lao!


Sikiliza kuanzia dk 24



MY TAKE
Hizi ndo zile siasa za controversy za JPM ninazosema! Yaani siasa chafu!!

Ziwa Burigi lipo Biharamulo mkoa wa Kagera ambapo ni km 82 toka Chato (km 116 toka Chato Airport) ila imelazimishwa kuwa hifadhi Burigi Chato na gate likawekwa Chato km 82 toka ziwa Burigi na kuna mji wa Biharamulo (mkubwa zaidi ya kijiji cha Chato) ulio km 16 toka ziwa Burigi na hamna gate la kuingilia mbuga ya Burigi Chato!

Ikumbukwe mji wa Bharamulo upo chini ya km 20 kutoka Biharamulo GR na Kimisi GR halafu

Hii ni moja ya weakness ya JPM alikuwa analazimisha vitu bila maarifa ndo maana hakufanikiwa hapa hata kuanzisha mkoa wa Chato haitafanikiwa!



 
Katika hizi brands kuna big Benz brand hapo kama hii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanini Benz sio luxury?
View attachment 2254278
Luxury kwa bus ni model ama starehe which is enhanced by comfort and other entertainment accessories? lishamba kweli, jipe shughli na upotelee mbali πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…