Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo wewe umeamua kuegemea upande ambao unaendana na matakwa yako sio?[emoji38][emoji38]. Nimemuomba aweke ushahidi wenye kuashiria kwamba kulikua na dalili za ukabila lakini ameshindwa, katika Mambo yote aliyolalamikiwa Magufuli, kosa la ukabila halipo kabisa, ushahidi mzuri ni wewe mwenye, ni Leo tu ndio unaanza kutoa shutuma hizo baada ya kuzisikia toka kwa Geza

Mimi huwa ni muumini mzuri Sana wa UN and International bodies reports, hakuna hata Moja Kati ya hizo ambayo ilishawahi kumlaumu Magufuli kwa ukabila, nyingi zililalamikia kuhusu uvunjaji wa haki za binadamu, authoritarianism, na Demokrasia, lakini kuhusu ukabila, huo ni uzushi wa watu, hilo halikuepo ni upuuzi mtupu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wacha kufikiria kama zuzu bana, ebu niletee ile ndege ulisema ya kq haikua na livery kwanza, which livery did it have?
 
Unautaalamu gani wa mambo ya kitaalamu kama hayo?,wewe bingwa wa matusi sababu hauna akili inayoreason kama mtu
 
Sasa Kama umeachiwa miradi mingi na pesa ni kidogo, jukumu lako Kama kiongozi ni kuongeza mapato zaidi na kubana matumizi(ikiwemo kutokuongeza mishahara), ni upuuzi Kama unajua kipato ni kidogo lakini unazidi kuongeza matumizi.

Tony, Magufuli alikua anajua ni maeneo gani angeweza kuongeza mapato nje ya Makusanyo ya TRA, nadhani ulishuhudie katika kipindi chake jinsi tulivyokua tukikamata "Kilograms of gold and Tanzanite" zilizokua zikitoroshwa nje ya nchi na kuzitaifisha, Ina maana tangu kufariki kw Magufuli watu wameacha kutorosha madini, mbona hatusikii tena kukamatwa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Uyouyo alietumia hadi hela za mafao kujengea miradi au mwingine, nna uhakika walimwambia baadhi ya mambo yeye akakomaa,angeweza jenga kwa phases bila kuumiza uchumi na kufanya matumizi ya fedha za wastaafu
 
Ni kweli.
 
Aliesema watz ni wengi si ni wewe nakwambia defend unaleta porojo
Wewe ndio unaleta porojo. Unajuaje watanzania sio wengi Kenya na huishi Kenya? Wacha upuzi. Leta evidence watanzania sio wengi kenya kinyume cha sheria uache ujinga.
 
Kwani yeye ni rais wa kwanza kuongeza mishahara?, Labda Kama ajira ulianza kipindi cha Magufuli, lakini Kama ulianza nyuma ya Magufuli, utakumbuka Kikwete alikua akipandisha mishahara kila mwaka, na hakuna lolote lilisaidia kwa kuongeza mishahara, badala yake upigaji na rushwa serikalini viliongezeka.

Kaka, ni lazima serikali kutoa mishahara kulingana na uwezo wake, sio kutokana na matakwa ya wafanyakazi, yapo Mambo mengi muhimu zaidi nchini, ni muhimu yapatikane kwanza, hivi Kama ni wewe utaacha kununua madawa na vifaa Hospitalini ili ulipe mishahara?, au utaacha kushughulika na upatikanaji wa maji na chakula nchini ili kulipa mishahara ya watumishi serikalini kwanza?, hebu punguza ubinafsi?

Kaka, ajira serikalini hakuna pesa nyingi, Kama unadhani vipi, wewe jiachie na uingie mtaani upambane, wacha kulakamika wakati serikali haina uwezo huo unaotaka, hata Hilo ongezeko dogo aliloongeza, Kamwe sio lolote kutokana na gharama za maisha zilivyo kubwa, bado utaendelea kulakamika kila siku.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio unaleta porojo. Unajuaje watanzania sio wengi Kenya na huishi Kenya? Wacha upuzi. Leta evidence watanzania sio wengi kenya kinyume cha sheria uache ujinga.
Wewe ndio umesema ombaomba wakitanzania ni wengi sasa thibitisha kauli yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…