Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,180
- 107,769
Sasa viwanja vya Mbeya na Arusha unaweza kufananisha na CCM Kirumba? Engineer acha uzushi wa Kisukumagang bana! Si kila kitu Mwanza wapewe kuweni na timu ligi kuu kwanza!Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asijenge huko majiji mengine kwa hio partnership..
Nimecheka sana. Na hizo vibanda zote kando ya barabara nimeona kwenye hiyo video they believe that Oysterbay is better than Karen, Muthaiga or Runda?! No pun intended but kama hiyo ndio Oysterbay then even Kileleshwa is betterWewe unatupostia video ya 80% bridge na 20% estate.
Video ya estate ni kama hii hapa.
Sasa unaquote post yenye matusi ukisema unakubaliana na aliyeiandika eti tuwache matusi? Wewe tangu hawa jamaa wakuchoche kidogo eti una akilii kisa unatolerate upuzi wao umeanza kuwa kilaza kilaza tu. Yani you're yearning for their approval and it's becoming pathetic.RRONDO na The best 007 Nakubaliana nanyi. mimi pia nimekataa huo mfumo wa matusi. Tuna mengi ya kujifunza humu. Tuwe wastaarabu kwa wenzetu. Uzi huu ni wa kujifunza mambo mapya. Mambo ya matusi au kejeli sioni kama inatusaidia hapa.
Angalia Runda below. Ukimaliza niambie nikuletee Karen kisha nimalizie na Muthaiga. Utajidharau kutaja OysterbayWacha kuchekesha jamii we famba, weka hiyo Karen, uone kama inatoboa mbele osterbey,narudia tena Osterbey ni neighborhood kali kuliko yeyote hapo kwenu... neighbor hood za hapo kwenu ni vumbi mtindo mmoja
Ndio akili yako ilipoishia . We mdharau tu . So long as you can't change anythingKutojua English kwa nchi inayofundisha kingereza inaonyesha jinsi gani mulivyokua vilaza. Imagine PHD holder tena wa science kama magufuli hajui kuunda sentensi mbili za kiingereza bila kujiuma ulimi. Mimi mtu aliesoma Tanzania hata awe na PHD waga namdharau.
Hakuna kitu mbaya Kama kujifanya unajua kitu wakati ukweli ni kwamba hajui lolote!Umeumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I saw that post. Inferiority complex ndio kasumba inawasumbuaMwengine nimemwambia jana hii tabia ya kujifunza new vocabulary alafu unakimbilia kuitumia kwa sentensi waache maanake wanaexpose ujinga wao. 🤣 🤣
Una kichaa we jamaa, hii ndio unataka ulinganishe na osterbey.?Angalia Runda below. Ukimaliza niambie nikuletee Karen kisha nimalizie na Muthaiga. Utajidharau kutaja Oysterbay
Because it's an arid area. Common sense 🤷♂️🤷♂️🤷♂️mbona vumbi sasa 😂😂😂😂
Nafikiri shida hapo mmiliki wa uwanja ni nani. Ingekuwa uwanja wa mtu binafsi wengi wangeelewa PPP ila kwasababu ni viwanja vya CCM inaleta ukakasi. Kuna mgongano wa maslahi tulianzia na jinsi CCM ilivyopata hivyo viwanja.Idea niliotoa si ngeni Mbali na SA hata Ujerumani ili-partner na other stakeholders kuboresha viwanja! Huwa hawajengi viwanja vyote vipya! Ingia online upate uelewa mzee!
Haswa approach wanayoenda nayo ya kutumia budget ya serikali bila ya kuoainisha zitarudi vipi! Ila PPP inawezekana na viwanja vya CCM haswa Kirumba unalipa. Ni jinsi ya modalities zinakuwa formulated! Angalia hata Spain na France jinsi wanafanya kabla ya ku-host tournaments!Nafikiri shida hapo mmiliki wa uwanja ni nani. Ingekuwa uwanja wa mtu binafsi wengi wangeelewa PPP ila kwasababu ni viwanja vya CCM inaleta ukakasi. Kuna mgongano wa maslahi tulianzia na jinsi CCM ilivyopata hivyo viwanja.
Wewe ni malay* sana. Umekuwa ukinitafuta sasa leo umenipata. Mbw* wewe. Don't quote me. Mimi ni mtu mzima hutaniambia niseme nini hapa. Mimi sio mtoto wako. Hio lecture yako enda upatie watoto wako lecture. Uko na roho chafu, unakuja hapa kutukanana nao mimi nakuja hapa kujibamba. Next time ukiona posts zangu please ignore them. I am here for my own enjoyment. Siko hapa kukufurahisha. I will continue being friendly with them. Kama hupendi basi kajinyonge. Just because we were born in the same country doesn't mean you own me. You don't pay for my food or my bills. Umekuwa ukinitafuta sana ukidhani nakuogopa kwani wewe ni nani? Nitaendelea kuwa marafiki nao. Kajinyonge basi.Sasa unaquote post yenye matusi ukisema unakubaliana na aliyeiandika eti tuwache matusi? Wewe tangu hawa jamaa wakuchoche kidogo eti una akilii kisa unatolerate upuzi wao umeanza kuwa kilaza kilaza tu. Yani you're yearning for their approval and it's becoming pathetic.
Cc Coco reborn mwathadan
Barabara mbovu!Angalia Runda below. Ukimaliza niambie nikuletee Karen kisha nimalizie na Muthaiga. Utajidharau kutaja Oysterbay
sioni barabara ila naona vumbi ??😂😂Because it's an arid area. Common sense 🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Nilikwambia Tony254 hawa wanakuchukia sn vile hauko biased, umeona ss amekutusi live wala hajapepesa macho, alitaka na wewe uwe na blind patriotism yn usisifie kitu ambacho Kenya inawish kuwa nacho ambacho Tz kipo.Sasa unaquote post yenye matusi ukisema unakubaliana na aliyeiandika eti tuwache matusi? Wewe tangu hawa jamaa wakuchoche kidogo eti una akilii kisa unatolerate upuzi wao umeanza kuwa kilaza kilaza tu. Yani you're yearning for their approval and it's becoming pathetic.
Cc Coco reborn mwathadan
Mzizima itapafanya pazidi kupendeza sanaaa[emoji7][emoji7][emoji7]
Leta video yako tuone, wacha kelele ya chura.Una kichaa we jamaa, hii ndio unataka ulinganishe na osterbey.?
Umeona vibanda kando ya barabara kwenye hiyo video Kama Oysterbay?Una kichaa we jamaa, hii ndio unataka ulinganishe na osterbey.?
Who watches under 16 even under 23!!!!Wakunya! Kwenye mpira mnabidi mtupe heshima. Tupo na 'mabig boys'
Tatizo lako ww huwa una hasira sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Who watches under 16 even under 23!!!!
Senior level is what matters nchi ya mchezo moja tena zero