Yani ni noma mkuu, hizo A220 zinapiga mzigo kupita maelezo, linaweza likatua sahizi kutoka Hahaya Comoro zen linasafishwa linaelekea mwanza liko full, huku lingine linapakia linaenda Lusaka Harare na lingine Ndola Lubumbashi both at par, hizo Q400 ndio balaa zinazajaza mpk basi, hiyo comment ya jamaa nilitaka niitoe mm leo kwa kuweka picha ya terminal 2 na ku comment "tofauti ya stendi za daladala na airport ni nn?" Nashangaa kumbe kuna mwamba twitter naye kaliona hilo, wakuu Magufuli asamehewe makosa yake hapa duniani mana inawezekana alifanya kosa lkn hakukusudia ilikuwa ni kwa faida ya Taifa na Watz kwa ujumla.