Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Mtoto mdogo hawezijua! Karemjee showroom ipo tangu 1927!LR showroom ipo Tz kabla wewe hujazaliwa.
Hio showroom ya CMC, hawauzi gari za Jaguar Land rover vehicles pekee. Hao wanauza hadi Tuktuk. 🤣 🤣 🤣LR showroom ipo Tz kabla wewe hujazaliwa.
Wtf?! Kwahio nikitaka brand new LR RR au Jaguar sipati?Hio showroom ya CMC, hawauzi gari za Jaguar Land rover vehicles pekee. Hao wanauza hadi Tuktuk. 🤣 🤣 🤣
Hamna Jaguar Land Rover dealership.
As usual kahamisha goli anasema hawauzi LR peke yake! Kituko hikiMtoto mdogo hawezijua! Karemjee showroom ipo tangu 1927!
Our Story | Origins - Karimjee Jivanjee
Karimjee Jivanjee Group. Growing and enabling together. We are a 21st century family business driven by a 198 year old legacy founded on our approach to people, customers, partners, society and business.karimjee.co.tz
I see no Kenyan here who is pea-brained enough to match your level of doltishness, that's why I'm surprised Tony254 is wasting his time on you. Did you learn what GDP is? Focus on that rather than jumping into every discussion you know nothing about.This man is the only person among you who can at least make sense in his posts, the rest of you are super stupid
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Vita ngumu sana hata US Iraq, Afghanistan hawakwenda peke yao . Pia Russia yupo makini hii vita lazima upigane kimahesabu maana NATO kama wanaivia Russia ndio maana wanawapa siraha na mercenaries ukraine hili kuwadhofisha Russia . All in all vita ni mbaya sana , mfumuko wa bei unamkua mkubwa kwenye mataifa ya dunia ya tatuMbona Russia, superpower wako imeshindwa kuiteka Donbas siku 100 baada ya vita kuanza? Naelewa imeshindwa kuiteka Kyiv au Kharkiv kwa sababu hizo ni miji mikubwa lakini mbona kamji kadogo kama Severodonetsk imeishinda Superpower? Hii ni maajabu. Russia ni superpower wa kwenye makaratasi.
Weka mombasa tucheke kidogoKama Mombasa aisee
Waambie na wao waweke control center ya ka Nairobi ucheke, jamaa vitu vyao jua kali kinoma noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]These are the two SGR control centers in East African Community countries. Discuss.View attachment 2251177View attachment 2251178
Positive Inflation rate nzr ni ile ambayo haizidi 5% sasa hebu tuambie Inflation rate ya Kunyaland imefika ngp ili tuone umuhimu wa remittance kwenye uchumi wa Kunyaland.Inflation sio kwamba ni mbaya wakati wote. Inflation rate ya juu ndio mbaya. Negative inflation pia ni mbaya. Lakini positive inflation rate ya chini ambayo ni stable is preferred kwa sababu ina manufaa kwa uchumi.
Hii ni mbaya kwa uchumi wa nchi na ndicho alichosema joto kwamba mara nyingi remittance zinafanya gharama za maisha kupanda maradufu.6.47% mwezi wa Aprili.
Hupati ng'oo, Utangoja itoke Kenya kwa official distributor wa East Africa. Inchcape Kenya. Bongo hamna hata official JLR website kama hii ya Kenya below.Wtf?! Kwahio nikitaka brand new LR RR au Jaguar sipati?
Wewe unajua hyper-inflation ni nini? Usitumie maneno usiyoyaelewa.Kwa sasa kenya ipo kwenye vicious cycle of hyperinflation(6.47) and falling currency, thnks to your endless and baseless borrowing plus poor policies on inflation
Hapa remittance imejidhihirisha ni kipimo cha ugumu wa maisha katika nchi.tuusan njoo tuchambue hii latest statistics. Najua unapenda hivi vitu kama mimi. Kenya ni ya tatu kwa kupokea remittance in Sub-Saharan Africa. Tanzania haipo top 10. Inapigwa na nchi ndogo kama Togo. Hivi niulize, ni kwa nini Tanzania ina diaspora population ndogo? Kwa nini huwa hampendi kutembea nje ya nchi yenu?
- Nigeria: $19.2 billion
- Ghana: $4.5 billion
- Kenya: $3.7 billion
- Senegal: $2.7 billion
- Zimbabwe: $2.0 billion
- Democratic Republic of Congo: $1.3 billion
- Uganda: $1.1 billion
- Mali: $1.1 billion
- South Africa: $900 million
- Togo: $700 million
10 African countries that receive the highest remittance inflows, according to latest stats
10 African countries that receive the highest remittance inflows, according to latest statsafrica.businessinsider.com
Wewe unajua inflation target ya Kenya ni ngapi? Yaani Kenya huwa inataka inflation yake iwe ngapi?Hii ni mbaya kwa uchumi wa nchi na ndicho alichosema joto kwamba mara nyingi remittance zinafanya gharama za maisha kupanda maradufu.
Remittance inaweka chakula mezani katika maelfu ya majumba hapa kenya. Remittance inalipia maelfu ya wanafunzi school fees. Remittance inanunua maelfu ya viwanja na kujenga maelfu ya majumba. Kuna zaidi ya Wakenya milioni moja wanaofanya kazi nje ya nchi.Hapa remittance imejidhihirisha ni kipimo cha ugumu wa maisha katika nchi.
Yani ni noma mkuu, hizo A220 zinapiga mzigo kupita maelezo, linaweza likatua sahizi kutoka Hahaya Comoro zen linasafishwa linaelekea mwanza liko full, huku lingine linapakia linaenda Lusaka Harare na lingine Ndola Lubumbashi both at par, hizo Q400 ndio balaa zinazajaza mpk basi, hiyo comment ya jamaa nilitaka niitoe mm leo kwa kuweka picha ya terminal 2 na ku comment "tofauti ya stendi za daladala na airport ni nn?" Nashangaa kumbe kuna mwamba twitter naye kaliona hilo, wakuu Magufuli asamehewe makosa yake hapa duniani mana inawezekana alifanya kosa lkn hakukusudia ilikuwa ni kwa faida ya Taifa na Watz kwa ujumla.Nimekutana na hii maneno kule twitter
mh hii namba 1 inaweza leta utata! ajirembeshe kidogo jamani! hongera zao!Things I love to see 😍