Inflation yenu kwa sasa ni ngapi? Before uconcludeInflation sio kwamba ni mbaya wakati wote. Inflation rate ya juu ndio mbaya. Negative inflation pia ni mbaya. Lakini positive inflation rate ya chini ambayo ni stable is preferred kwa sababu ina manufaa kwa uchumi.
6.47% mwezi wa Aprili.Inflation yenu kwa sasa ni ngapi? Before uconclude
Serikali inalenga kufikia watalii mil.5 by 2025 na mapato yapatayo dola za Marekani bil.5..Nearly a hundred LCs!
Mbona Russia, superpower wako imeshindwa kuiteka Donbas siku 100 baada ya vita kuanza? Naelewa imeshindwa kuiteka Kyiv au Kharkiv kwa sababu hizo ni miji mikubwa lakini mbona kamji kadogo kama Severodonetsk imeishinda Superpower? Hii ni maajabu. Russia ni superpower wa kwenye makaratasi.
bila mbolea utapata mazao gani?? au munalima mbinguni ?? ๐๐wacha uropokaji nawe zaidi ya wheat flour hebu nitajie hayo mazao mengi yanayotoka Russia na Ukraine! mbolea si mazao! Vodka?
Iko 7.2 % ๐๐ mwezi May6.47% mwezi wa Aprili.
Sasa kama unacheka ya Kenya na hii ya Turkey utafanyaje?Iko 7.2 % ๐๐ mwezi May
russia inakwepa sana kuua raia wakat huohuo ukraine inawatumia raia kama nguzo yao yakutopigwa na haya mbona yalishaongelewa ๐๐๐ yani wanajeshi wa ukraine wanaenda kujificha kwneye shule za watoto wa nursery serious??Mbona Russia, superpower wako imeshindwa kuiteka Donbas siku 100 baada ya vita kuanza? Naelewa imeshindwa kuiteka Kyiv au Kharkiv kwa sababu hizo ni miji mikubwa lakini mbona kamji kadogo kama Severodonetsk imeishinda Superpower? Hii ni maajabu. Russia ni superpower wa kwenye makaratasi.
kwann mm nimesema nn?? nimesema asante kwa render kuna ubaya au??๐คฃ๐คฃYour guess is as good as mine,the project looks grand,canโt wait to have the last laugh when it commence.
sasa munajifananisha na turkey ??๐๐ ushawah sikia turkey watu wake wanakufa njaa kama kwenu??Sasa kama unacheka ya Kenya na hii ya Turkey utafanyaje?
View attachment 2251294
na huu ndio ujinga walionao hua wanajiringanisha mpaka na usa kwenye debt ๐คฃ๐คฃ๐คฃTony254 Unakosea unapojilinanisha na nchi ya dunia ya kwanza
Kama walivyoukimbia uzi wa SGR kule!!! Wakati ndo kwanza mambo yanaanza!!!Ukivunja vunja hivi vitu kwa sectors hakuna Mkenya atakayebaki!!!Punguzeni spana wadau!๐Mdogomdogo utawakimbiza humu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tony254 Unakosea unapojilinanisha na nchi ya dunia ya kwanza
Hahaha. Nyie mna uwoga sana. Sijui nani aliwauzia uwoga.sasa munajifananisha na turkey ??๐๐ ushawah sikia turkey watu wake wanakufa njaa kama kwenu??
Ujue ndio wanaongoza Duniani kwa sasa ๐๐...Sasa kama unacheka ya Kenya na hii ya Turkey utafanyaje?
View attachment 2251294
Hahaha. Bei ya mkate na vyakula vingine huko Turkey inaongezeka karibu mara dufu kila mwezi. Rais Erdogan ni mpumbavu sana. Wachumi wanaamini kwamba njia sahihi ya kupunguza inflation ni central bank kuongeza interest rate. Lakini Erdogan amekataa kufanya hivyo na badala yake ameamuru central bank ipunguze interest rate. Anapingana na wachumi, hataki kufuata advice ya wachumi. Sasa wanaoumia ni wananchi wa Turkey.Ujue ndio wanaongoza Duniani kwa sasa ๐๐...
Hivi hao jamaa wamekumbwa na nini hasa?
Sasa kama unacheka ya Kenya na hii ya Turkey utafanyaje?
View attachment 2251294
Kama walivyoukimbia uzi wa SGR kule!!! Wakati ndo kwanza mambo yanaanza!!!Ukivunja vunja hivi vitu kwa sectors hakuna Mkenya atakayebaki!!!Punguzeni spana wadau!๐
Analenga nini kuamuru hivyo?Hahaha. Bei ya mkate na vyakula vingine huko Turkey inaongezeka karibu mara dufu kila mwezi. Rais Erdogan ni mpumbavu sana. Wachumi wanaamini kwamba njia sahihi ya kupunguza inflation ni central bank kuongeza interest rate. Lakini Erdogan amekataa kufanya hivyo na badala yake ameamuru central bank ipunguze interest rate.