Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi kulinganisha economic benefits zitokanazo na mining na remittance, kama Tanzania government imepata revenues ya $3.5b ujue money circulation ni zaidi ya hiyo pesa.
Wewe huwa mpuuzi sana wakati mwingine. Unapenda kubadilisha topic lakini leo sina mood ya mchezo. Mimi ninazungumzia mapato pekee. Sizungumzii mambo ya economic benefits. Obviously mining sector ina economic benefits nyingi lakini mimi ninazungumzia mapato ya mining sector yenu. Hata sizungumzii kuhusu investments katika mining sector yenu. So punguza kiherehere. Usiniletee hizo video za investments mimi ninazungumzia mapato. Mbona wenzako wameelewa na wamenyamaza, wewe ndio unakazana hapa.
 
Vijana wa Parking wakimaliza kazi zao.

IMG_7744.jpg
 
Remittance ya Kenya ni $3.7 billion. Remittance ya Kenya imeshinda gold revenue yenu ya $3.5 billion. Epuka kuropoka bila kutazama facts kwanza.

Cc tuusan
yani tunaitawala tanganyika kwa namna yoyote ile.. from whichever angle tunaikeketa 🤣🤣
 
Weka hapa EuroWings zikileta watalii miaka ya nyuma badala ya kujisemesha tuu bila ushahidi.

Tukuamini wewe au boss wa EuroWings/Lufsantha? .Kazi nzuri ya Royal tour,acha wivu wa kisenge [emoji116]
Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
 
Japokuwa haziji kwa sababu ya Royal tour, Eurowings sio seasonal but will be all year round flights starting with weekly 2 flights! Epuka uropokaji!

Tutaona ..Edelweiss ilikuwa hivyo hivyo sa hizi inakuja ? ...Mimi siombei mabaya Tanzania..but we will see if they maintain the schedule to 2x weekly..Wamejitahidi ku maintain mombasaa via Zanzibar
 
Tutaona ..Edelweiss ilikuwa hivyo hivyo sa hizi inakuja ? ...Mimi siombei mabaya Tanzania..but we will see if they maintain the schedule to 2x weekly..Wamejitahidi ku maintain mombasaa via Zanzibar
Wacha upumbavu, Edelweiss for the whole of June is full booked aside 10 additional flights for July and August!
Screenshot_2022-06-04-16-57-11.png

FYI Edelweiss imeacha kwenda Mombasa jaribu ku-book flight toka Zurich kwenda Mombasa uone! Hata ukipitia link ya destinations za Edelweiss Mombasa haipo!

BTW Edelweiss na Eurowings ni mashirika ya Lufthansa, sasa huwezi kuniambia wewe unaelewa sababu ya Lufthansa ku-connect Zürich na Frankfurt na Kilimanjaro na Zanzibar badala ya Mombasa!

CC: Tony254
 
Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
Hutonijibu kitu na umejibu 😂😂.

Ona hili boys,Usiponijibu nitalala njaa au sio? 😆😆😆 .

Kwa hiyo wewe unapingana na Serikali ya Tanzania na Ujerumani waliosema wameanzisha flight rasmi?

Pole Sana , flight nyingine ya Marekani mbioni kuanza 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-130610.png
    Screenshot_20220604-130610.png
    90 KB · Views: 29
Tutaona ..Edelweiss ilikuwa hivyo hivyo sa hizi inakuja ? ...Mimi siombei mabaya Tanzania..but we will see if they maintain the schedule to 2x weekly..Wamejitahidi ku maintain mombasaa via Zanzibar
Kama abiria wakiwepo kwa nini ishindwe ku mantain hiyo route?

Harafu nani kakudanganya kwamba Edelweiss haiji?
 
Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
Eurowings ni new airline imekuwa launched mwaka jana! February hii nimepanda Edelweiss mpaka Zanzibar toka Zürich hata kama ni leisure aircraft booking haizuiwi kwa yeyote! Acha kupotosha!
 
Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
Usichanganye madesa ndugu! Condor peke yake ndio seasonal flight! Make the use of Internet to know the nitty gritty! Na uache kasumba ya Mombasa ambayo imejifia mbele ya Zanzibar na Kilimanjaro!

Usichanganye madesa ndugu! Condor peke yake ndio seasonal flight! Make the use of Internet to know the nitty gritty! Na uache kasumba ya Mombasa ambayo imejifia mbele ya Zanzibar na Kilimanjaro!

Edelweiss inakuja sasa hivi au haiji..?

Edelweiss ni seasonal mzee kama condor ilivyokuwa inafanya...

Mimi sio kwamba nachukia watalii kuja ..am.just saying facts ..edelweiss ni seasonal

Ni kama Turkish na Fly Dubai kwenye KIA route huwa sio mwaka mzima
 
Back
Top Bottom