Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe na The Sunk Cost Fallacy mkisikia kwamba sekta ya utalii imepata mapato ya Tsh 3 trillion mwaka wa 2021 mnafikiria kwamba hio pesa yote imeenda kwa GoT? Mbona mna akili mavi hivi?
Endelea kuhangaika na ubishi wa kisenge ,Tanzania tunazidi kusonga mbele 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-131727.png
    Screenshot_20220603-131727.png
    160.7 KB · Views: 18
Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"

View attachment 2250583

Cc The best 007 chongchung
Yani Tony unajiaminisha na kujidanganya kabisa kwamba hela ya serikali ya Tz inakwenda kugharamia expenses za mgodi wa mabepari. Maana kampuni kama Barrick Gold tunawasaidia vipi kulipa gharama zao za uzalishaji?

Zahabu na madini mengine yanachimbwa kwa gharama za mwekezaji GOT inalipwa kodi na mrabaha ikiwa ni pamoja na faida inayopatikana kutoka kwenye compulsory share zake ambazo ni free carried shares hazina gharama yoyote.
 
Hawa Russians pia ni waoga, si waseme tu wata attack USA kama wanajiamini, hii kusema west inaonyesha wao ni waoga.

 
Naishi hapahapa Tz nna mshahara wa wastani lakini I can tell you for sure Tz maisha ni magumu sana kama hauna kazi ama biashara yenye mzunguko...watu wengi ni hopeless ndio maana utawala uliopita wakisikia mtu katumbuliwa walikua wanashangilia,wakisikia biashara za watu zimefungwa wanashangilia,watu wenye maisha magumu hawataki hawataki kuona mwingine akipata,infact hapa naongea v2 kwa uhalisia wake,Mtu akikuambia tz maisha ni mepesi uyo tayar anamfereji wakukunga
Kiongozi jaribu kilimo mbona vijana mnakiogopa. Huku hakuna kodi wala mama yake tiaraei ni pesa tuu kwa kwenda mbele. Unaweza ukawa na kazi yako weekend unaenda kushinda Shamba unarudi j2 jioni.
 
Yani Tony unajiaminisha na kujidanganya kabisa kwamba hela ya serikali ya Tz inakwenda kugharamia expenses za mgodi wa mabepari. Maana kampuni kama Barrick Gold tunawasaidia vipi kulipa gharama zao za uzalishaji?

Zahabu na madini mengine yanachimbwa kwa gharama za mwekezaji GOT inalipwa kodi na mrabaha ikiwa ni pamoja na faida inayopatikana kutoka kwenye compulsory share zake ambazo ni free carried shares hazina gharama yoyote.
Waziri wenu wa madini Doto Biteko ameshakiri kwamba mauzo ya madini zote katika nchi ya Tanzania ndani ya mwaka wa 2021 yakikuwa $3.6 billion. Milele nitamsikiliza waziri wenu sio wewe. Jifunze kwanza neno "mauzo ya madini" au "mineral sales" ina maana gani kisha uje kutoa hoja. Mimi ninaweka evidence. Wewe hakuna evidence yoyote uliyoweka isipokuwa maneno matupu.
 
Wacha upumbavu, Edelweiss for the whole of June is full booked aside 10 additional flights for July and August!
View attachment 2250495


FYI Edelweiss imeacha kwenda Mombasa jaribu ku-book flight toka Zurich kwenda Mombasa uone! Hata ukipitia link ya destinations za Edelweiss Mombasa haipo!

BTW Edelweiss na Eurowings ni mashirika ya Lufthansa, sasa huwezi kuniambia wewe unaelewa sababu ya Lufthansa ku-connect Zürich na Frankfurt na Kilimanjaro na Zanzibar badala ya Mombasa!



CC: Tony254
The Kenyan government has been urged to implement the open-skies policy at Moi International Airport, Mombasa, to bolster international tourist arrivals at the coast.

Tourism Cabinet Secretary, Najib Balala, said when the government authorised more international airlines to operate flights to Mombasa, the industry at the Kenya coast could take a shorter time to recover.

He added that opening skies in Mombasa could boost air connectivity between the country’s tourism hub and cities in overseas markets and uplift international arrivals.

Balala said tourism in the region could no longer depend on charter flights from Europe as only a few airlines operated flights to Mombasa. “During the 2011 peak period, Moi Airport used to receive more than 40 charter flights a week from Europe, bringing a large number of international visitors.”

At the moment, he added, the airport received only seven flights a week, resulting in a low number of foreign tourists in the region. “To achieve sustainable tourism development at the coast, the government ought to open skies in Mombasa so that airlines from across the world can operate flights to Moi Airport.”

Kenya Tourism Federation Chairman, Mohamed Hersi, said the government should open the skies in Mombasa for more international airlines to fly to the region. He said more airlines operating to the city would mean international visitor numbers would soar and boost the hotel industry.

Hersi added that international airlines that were interested in flying to the coast should be given the go-ahead. “Regional airlines RwandAir and Ethiopian Airlines have been helping tourism in Mombasa, as they have been operating daily scheduled flights from Kigali and Addis Ababa,” he said.

Last year, the Kenyan government granted traffic rights to Dubai-based airline, flydubai , to operate flights between Dubai and Mombasa, but to date it is yet to introduce service.

Other airlines from the Gulf showed interest in flights to Mombasa, but have been facing difficulties in getting authorisation from the Kenyan authorities.

German holiday airline, Condor, is expected to increase flights to the city from Frankfurt and Munich from one to three a week during the summer period. Turkish Airlines is the only airline from Europe operating scheduled flights between Istanbul and Mombasa.
 
Katika kikao cha bunge, mbele ya rais Samia, Waziri wa madini Doto Biteko amesema kwamba mapato (sales) ya dhahabu ni Tsh 8.1 trillion. Pia amesema kwamba lengo la makusanyo la wizara ya madini ni Tsh 600 billion kwa mwaka. Sikiliza kutoka dakika 2:57.
Ninamnukuu Waziri Biteko.
"Makusanyo baada ya wewe kuingia kwenye ofisi yameongezeka sana. Tulikuwa tunakusanya, na mauzo yote ya dhahabu nchi nzima ni ya trillioni nane nukta moja tisa. Lakini kwa miezi sita pekee toka umekuja, mheshimiwa tumeshafanya mauzo ya trilioni nne na milioni mia saba arubaini. Kiasi kwamba mheshimiwa rais hatuna wasiwasi, lengo tuliyowekewa la kukusanya bilioni mia sita kwa mwaka kutoka bilioni mia tano themanini tulikuwa tumepangiwa tutalivuka kwa sababu mheshimiwa raisi wewe umeweka msukumo mkubwa sana kwenye miradi hii ya maendeleo."



Sasa nyie watatu mkipinga maneno ya waziri wenu aliyoyasema mbele ya rais wenu mtakuwa wajinga kweli.
chongchung The best 007 coodip1 Lengo la makusanyo la wizara ya madini kwa mwaka ni Tsh 600 billion. Kwa hivyo muwache huo upuuzi wenu wa kusema kwamba mauzo yote ya madini ya $3.6 billion inakwenda GoT.
 
Hii nimeipata katika website ya wizara yenu ya madini. 👇 👇

Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia Asilimia 91.9​

Tarehe : April 28, 2021, 12:51 p.m.
left

  • Ni katika kipindi cha Julai 2020 hadi Aprili 2021, mwaka wa fedha 2020-2021
  • Ni kutokana na usimamizi makini wa Wizara ya Madini
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 2020 hadi Aprili, 28 mwaka huu Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 484.435 ambayo ni sawa na asilimia 91.97 ya lengo la ukusanyaji wa maduhuli ya kiasi cha shilingi bilioni 526.722 kwa mwaka wa fedha 2020-2021.
Profesa Kikula ameyasema hayo leo tarehe 28 Aprili, 2021 jijini Dodoma kwenye kikao kazi kilichoshirikisha Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa chenye lengo la kujadili changamoto za utendaji kazi na kuweka mikakati ya ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2021-2021 ambapo Tume ya Madini imepangiwa kukusanya lengo la shilingi bilioni 650.
Alisema kuwa siri ya kasi nzuri ya ukusanyaji wa maduhuli inatokana na msaada mkubwa kutoka Wizara ya Madini na ushirikiano kutoka kwa Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa na kuendelea kuwataka maafisa madini wakazi wa mikoa kuendelea kuwa wabunifu kwenye ukusanyaji wa maduhuli.
Katika hatua nyingine alisema kuwa ili kuweza kufikia lengo la ukusanyaji kwa mwaka wa fedha 2021-2022 mbali na kuweka mikakati mbalimbali ya ukusanyaji wa maduhuli, amewataka watumishi wa Tume ya Madini kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano na kuunganisha nguvu huku wakiwa wazelendo.
“Mfahamu ya kuwa macho yetu yote yapo kwa maafisa madini wakazi wa mikoa hususan kwenye ukusanyaji wa maduhuli ili mchango wa sekta ya madini kwenye pato la taifa uweze kufikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2025,” amesema Profesa Kikula

Kwa wale wanaoshangaa neno maduhuli lina maana gani, maduhuli ni sawa na mapato.
Screenshot_20220605-023547.jpg



chongchung The best 007 coodip1 kama ilivyoandikwa kwenye tovuti la wizara yenu ya madini, lengo la ukusanyaji la wizara ya madini wa mwaka 2020-2021 ni Tsh 526 billion. Mtapinga pia hili?
 
dar na nairobaa mbingu na ardhi..

at the cbd of dar-es-salaam city.!
street level😆
dar-new-scaled.jpg
dar-es-salaam-590x443.jpg
gettyimages-638590814-2048x2048.jpg








VS







at the cbd of nairobi city.!🔥
street level
free-walking-tour-nairobi.jpg
DSC_7676_xgaplus (1).jpg
TRCP9480_xgaplus.jpg
jomo-kenyatta-avenue-nairobi-kenya-C16NME.jpg
016ce040519adb3fa7956727160c839f.jpg


i still remember vividly, some years back, a BBC reporter complementing nairobi street level as being comparable only to those of south africa's major cities
 
Naishi hapahapa Tz nna mshahara wa wastani lakini I can tell you for sure Tz maisha ni magumu sana kama hauna kazi ama biashara yenye mzunguko...watu wengi ni hopeless ndio maana utawala uliopita wakisikia mtu katumbuliwa walikua wanashangilia,wakisikia biashara za watu zimefungwa wanashangilia,watu wenye maisha magumu hawataki hawataki kuona mwingine akipata,infact hapa naongea v2 kwa uhalisia wake,Mtu akikuambia tz maisha ni mepesi uyo tayar anamfereji wakukunga
Maisha ya Tz ni magumu kama huna kazi au biashara yenye mzunguko.....ni wapi maisha ni rahisi kama huna kazi au biashara yenye mzunguko?
 
Nairobi ni ukahaba capital kwa sasa

Hii nayo ni CBD bora hata slums za kaliadudu


am talking of uptown, and not downtown my broda. dar pics depicted above is actually uptown itself.!😆

ama ufanye hivi.. toa the best pics ya dar's uptown pia tuone basi
 
dar na nairobaa mbingu na ardhi..

at the cbd of dar-es-salaam city.!
street levelView attachment 2250716View attachment 2250717View attachment 2250718







VS







at the cbd of nairobi city.!
street level View attachment 2250721View attachment 2250730View attachment 2250731View attachment 2250727View attachment 2250720

i still remember vividly, some years back, a BBC reporter complementing nairobi street level as being comparable only to those of south africa's major cities
Mental disorder is real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom