Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani tujenge sgr tuu ikifika Zambia ndio itumie cape gauge ni configuration ndogo tuu ya wheels. Zipo dual wheels ambazo zinaweza kutumika kwenye gauge zaidi ya moja.
 
Ww kitu unaweza ni kubwekabweka ujinga...embu kajaribu kumwelewesha mkunya mwenzio juu ya majihttps://twitter.com/Philosopher254/status/1531963382877851648?s=19 Wherever is in the paper stay in the paper( kunyan slogan)
 
Tatizo uwezo wako wa akili ni mdogo Sana, nimekuambia tulinganishe Kati ya Kenya na Tanzania, Sasa wewe umeweka data pekee ya Kenya kwamba, availability of safe drinking water is 59%, kwanini hukutafuta za Tanzania ili tulinganishe na Kenya?.

Kwa kukusaidi tu ni kwamba "water availability in rural areas is 64% and in Urban areas is 82%, you can find out for yourself to confirm this.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ww kitu unaweza ni kubwekabweka ujinga...embu kajaribu kumwelewesha mkunya mwenzio juu ya majihttps://twitter.com/Philosopher254/status/1531963382877851648?s=19Wherever is in the paper stay in the paper( kunyan slogan)
Facts scream louder than empty rhetoric talk. Kwenye swala la afya pia tumewaacha mbali sana but bado mtapinga tu Kama ilivyo Kawaida yenu.

Universal Health Coverage in Kenya we are at 56% wakati nyinyi mko na 46%. Hilo ni pengo kubwa sana
 
Nadhani tujenge sgr tuu ikifika Zambia ndio itumie cape gauge ni configuration ndogo tuu ya wheels. Zipo dual wheels ambazo zinaweza kutumika kwenye gauge zaidi ya moja.
Hizo dual wheels gharama yake ikoje? Ngoja muda ukifika tutajua ila ninaamini feasibility study itashauri Cape Gauge kama mradi utatekelezwa chini ya Mtwara Development Corridor!
 
Huyu jamaa ni MTZ anamiliki bonge la barber shop kwenye mji wa liverpool na ndie kinyozi wa baadhi ya wachezaji wa Liverpool fc,leo pages za social media za klabu zimempaisha
 
Wakenya wengi wanakubali Uhuru ametengeneza barabara, kuna huyu jamaa on twitter amejaribu kureason kama bongolala amepewa maneneo vile inafaa. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Hayo maneno inafaa ulishe wajinga wenzio

 
 
I had Kenyan data and posted the link here kila mtu akasoma. Sasa wewe unakuja na data umetoa makalioni unaniambia eti nijitaftue handaki gani umeitoa 😂 😂

Well, here is another item you mentioned: Health

As usual, hapa pia tumewapiga kama kawa Kama dawa. Universal health coverage yetu ni 56% wakati yenu ni 46%. But as usual, utapinga tu Kama ilivyo desturi yenu
 
TAZARA imekosa maintenance inayohitajika inahitaji recapitalization ya nguvu over a billion US$! Tena ASAP
Tatizo la Tazara ni kumilikiwa na nchi "mbili" kama kila nchi ingekuwa na upande wake tungeweza kuboresha kwetu bila shida kama tulivyofanya kwenye MGR.
Ni sababu ya msingi (long game) kujenga cape gauge kusini kulingana na mahitaji ya wateja. Tukijenga SGR, washindani wetu (Msumbiji, Afrika Kusini) baadae wanaweza kutumia CGR zao kama sales pitch kutuibia wateja.
 
Ziko wapi izo roads za 23000km ukizingatia kanchinkenu ni km za mraba around 500000+
 
huyu Rais wa sasa wa Zambia ni kama anania nzuri ya kuboresha miundombinu ya TAZARA! Inabidi GoT ikae nae na kuamua ku-revamp reli hii!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…