President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,204
Hii ndiyo Ng'ombe inayotupigia kelele humu!!! Check usoni kovu, likiashiria huyu jamaa ni kibaka.Nakubali 😂😂😂
View attachment 3693474
Hii ndiyo Ng'ombe inayotupigia kelele humu!!! Check usoni kovu, likiashiria huyu jamaa ni kibaka.Nakubali 😂😂😂
View attachment 3693474
Babati ni kamji kadogo sana Tanzania. Wenye JIDIPIII kubwa sasa 🤣🤣🤣🤣
Kila siku ni power cut na migomo sijui wana zalisha nini kuongeza GDP 😁Hizo mambo za GDP ni fictitious endeleeni kujidanganya ilhali mna maisha magumu kijamii kuliko nchi yeyote hapa Afrika mashariki..
Reflections of the biggest East African GDP 🤣🤣🤣🤣
$100 billion mark kwani ni lazima? We have a working economy na figure zetu ndogo we are content with that kwani kuna shida ama tunakukera?Uongo gani yet it's known Tanzania did rebase lakini bado wakashindwa kufikisha $100B mark😂😂
Hapo ndio wameshajiandaa na El Nino 🤣🤣🤣🤣
So with your logic pia hii ni sabotage kutoka stakehigh. Natumai utakaa consistent na narrative yako na umkemee huyu jamaa kwa wivu wake , useme ni mjinga na anafanya sabotage.. iila ikiwa huoni hivo mwenzenu akifanya hivo basi ushajua wewe ndiye una shida ya kulalamika na ku play victim😅
View: https://x.com/atkinson_eng/status/2105204348502569144?s=46
stakehigh anapigwa na facts kule twitter kweli kweli 😂😂😂
View: https://x.com/_KemuntoM/status/2110668882197241910
stakehigh anapigwa na facts kule twitter kweli kweli 😂😂😂
View: https://x.com/_KemuntoM/status/2110668882197241910
Sasa unatufundisha maana ya rebasing au? If it's done to capture new and emerging realities in the economy which is true, how then is it not supposed to increase economic figures? Before the rebasing, was your economic figures at $96b? Has it increased or decreased?You think economic rebasing is done to increase economic figures. Rebase inafanyika to capture new and emerging realities in the economy, such as new sectors that were not initially captured in the previous period, na pia it aligns production of goods and services with the economic reality.
apo wajanja washapiga chao mdaHapo ndio wameshajiandaa na El Nino 🤣🤣🤣🤣
best englishReflections of the biggest East African GDP 🤣🤣🤣🤣