The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mm nawaambia hawa mbwa tumewazidi vitu vingi sana ni vile tulikaa kmy wakatuletea mazoea








Mm nawaambia hawa mbwa tumewazidi vitu vingi sana ni vile tulikaa kmy wakatuletea mazoea








Data ya KRA ndio sina. Lakini nikiipata nitaiweka kwa sababu wewe umetumia TRA. Data niliyotumia sio ya KRA. Anyway for now nitakubali hii data yako until nipate data ya KRA. Wacha nilale kesho pia ni siku.Okay, mim silii kwamba data zenu ni fake..na sitegemei excuses nyingine sasa kutoka kwenu 😂😙
hapa mnakubali au mnabisha .. hio data ya mwisho ni report ya 2019 kama yenu
View attachment 2247644
Nyinyi mnaizidi Tz kwenye hunger, tribalism, malnutrition, theft and diseases.Data ya KRA ndio sina. Lakini nikiipata nitaiweka kwa sababu wewe umetumia TRA. Data niliyotumia sio ya KRA. Anyway for now nitakubali hii data yako until nipate data ya KRA.
Hata ikiwa kwamba ni kweli mna more registered vehicles sasa cha kushangaza hapo ni nini? Nyie mpo watu 62 million wakati sisi tupo watu 50 million. Kumbuka bado sina data ya KRA au KNBS.
Nyinyi mmetuzidi, yn nyinyi mpo wengi kuliko sisi, mnapigana miti mpk kwenye recreational parks unategemea cc tuwe wengi kuliko nyie? Kwa ss nyie mpo milioni 70 kama unabisha ngoja statistics mpyaHata ikiwa kwamba ni kweli mna more registered vehicles kwamba cha kushangaza hapo ni nini? Nyie mpo watu 62 million wakati sisi tupo watu 50 million












Train iko wapi
Wacha niwa-advice majirani kwamba kwa sababu train zao zimechelewa kuwasili wengine wao wajipake avocado makalioni na kuslide na reli mpaka town.Train iko wapi ama nyi ndo mnateleza kwa reli?![]()
Nimepitia na hakuna mahali wametaja anyone's name. In fact hio report inaanza na kukubali freedom of expression. Hakuna mahali wameandika idolization of symbols, wewe unaropokwa tu.Freedom of expression haipo kwa institution responsible for holocaust! Pitia International laws uone maadhimio dhidi ya idolization of symbols of perpetration of crime against humanity!
UN General Assembly adopts Resolution on Holocaust Denial
On January 20, 2022 the General Assembly of the UN in New York adopted by consenus a new resolution which calls an States and non-state actors to take active measures against Holocaust denial.new-york-un.diplo.de
Katiba yenu itakuwa ya Kipumbavu kama itakuwa inaruhusu hili!
Kwa akili zako unahisi hapo tumejenga ili zipite buses au sio mbwa weweTrain iko wapi





Piga nduru vizuri.Leo nmekutana na mburundi pale JNIA, nikamuuliza unamis nn toka Tz akasema namis mambo mengi sana ikiwemo ukarimu na jinsi nchi yenu ilivyo nzuri.
Nikamuuliza umetembelea nchi gn ya East Afrika ukiacha Tz akasema Kenya, nikamuuliza nn tofauti ya Kenya na Tz akasema tofauti ni kubwa sana, Tz ni tamu sana I wish niwe mtz yn Wakenya hapana jamani na wezi sijawahi ona alafu huu uwanja wenu wa ndege hakuna wizi kabisa ila JKIA haaaa!!! Ukiacha mzigo wako umekwenda pia customer service ya Kenya ni mbovu mno. Ofcz Tz ni nchi ambayo sina cha kuongea zaidi ya kuangalia kama naweza kupata kuwa mtz.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huo ndiyo ukweli mwanangu, watu wanapambana sn kuwa watanzania aisee.Piga nduru vizuri.
Hivi vitu vinaongeza shortage ya fuel kwetu huku dunia ya tatu . Maana mfumuko wa bei unaongeza kwa kasi ya ajabu . Impact yake itakua mbaya Afrika kuliko huko kwenye vita
Train na reli kipi kina gharama kubwa, kama hunijibu hii usipanue matako yako kuniuliza swali lingine tafadhali.Train iko wapi
Tanzania 1st,Tanzania forever,Tanzania always in our hearts najivunia kuzaliwa na kuwa mtanzania viva siempre Tanzania!Leo pia nmekutana na mzungu wa Austria, alikuwa ananiuliza kama anaweza kupata passport ya Tz, hii ilitokea baada ya mtz kupita karibu yake, jamaa akauliza hii passport ya Tz nzr sn naweza kuipata? Nikamwambia huwezi kuipata mpk uwe mtz, jamaa akauliza nawezaje kuipata hii passport? nikamwambia mpk uifatilie lkn kaa ukijua kama utaipata hio passport ujue fika umeukana uraia wako, yule mzungu akasema nipo tayari kuukana uraia wangu nipate kuwa mtanzania, daaah nilishangaa sana wakuu.
Stupid societyOne reason I love Kenya is that you can freely express your self bila kusumbuliwa na mtu.YES WEKA LAWAMA.
![]()
![]()