Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1654170977848.png
 
Hawa watu hata wakipewa fursa ya kuhost Afcon bado watabanduliwa tu kwenye group stages. Wanapoteza pesa bure kujenga stadiums ilhali taifa stars ni gofu la timu ambalo haliwezi kushinda hata team ya viwete.
 
Hawa ni vilaza, hawpendi ukweli ata ushushe picha from google earth showing how Tanzania looks like wao watapinga tu, very poor country out of their own ignorance.,
Eti mtu anapinga ripoti za UN, WB, IMF alafu anataka tukubaliane na mawazo yake potovu. The funny part is that the same organisations wakisema kitu chochote kizuri kuhusu nchi yao they are so quick to praise such reports! Kwa kweli hawa ni vilaza wala hujadanganya
 
Niko na akili, something that you don't have
Akili bila mali au kazi ni sawa na umebeba mavi kichwani, zinakusaidia nn sasa kama huna kitu? Una akili alafu hujasoma so hizo akili zimekusaidia nn au uli prove wapi kwamba una akili? Au nyanyaako alikuambia una akili basi na wewe ukaamini
 
Back
Top Bottom