Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkikamatwa kende vzr munaishia kuita vilaza na wivu 😂😂😂
Hampendi ukweli kamwe, mnalazimisha eti Kenya ionekane iko chini yenu, haitatokea maishani mwenu, na hamtabadilisha ukweli, uwezi kutumia an opinion piece to argue against undeniable fact, weka solid facts, kuna KNBS data 2022., kuna google earth, unaeza tazama na kufanya hesabu, nini kigumu hapa? nyie ni domo domo tu., yani jina vilaza na wenye wivu inawafaa sana 😂 😂 😂 😂 😂 ., mko chini yetu na mtabaki vile hadi mwisho wa dahari..,
 
Haweki pua hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Can we please go through each item one by one and find out which country is better than another?
1)Food availability
2)Water availability
3)Shelter(housing)
4)Jobs for it's people
5)Health service availability
6)which citizens are in peace

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Kifanye kipengele cha 6) Peace, security and tranquillity
 
Hampendi ukweli kamwe, mnalazimisha eti Kenya ionekane iko chini yenu, haitatokea maishani mwenu, na hamtabadilisha ukweli, uwezi kutumia an opinion piece to argue against undeniable fact, weka solid facts, kuna KNBS data 2022., kuna google earth, unaeza tazama na kufanya hesabu, nini kigumu hapa? nyie ni domo domo tu., yani jina vilaza na wenye wivu inawafaa sana 😂 😂 😂 😂 😂 ., mko chini yetu na mtabaki vile hadi mwisho wa dahari..,
What do you expect from a country that conducts very little public participation, si unaona kazi yao ni kuchokora mtandao ju wamezoea kutokua involved kwa shugli za serikali. CCM imezoea kuwalisha propaganda kila siku. 🤣 🤣 🤣 🤣
Image
 
Mwanangu mbona unapenda kuongelea mapumbu ya wanaume, nimeanza kua na mashaka na wewe. Ukizingatia waarabu koko walivyo masenge
Huyu kaishiwa hoja na amesha give up amebaki kutukana tu kila akiingia JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
What do you expect from a country that conducts very little public participation, si unaona kazi yao ni kuchokora mtandao ju wamezoea kutokua involved kwa shugli za serikali. CCM imezoea kuwalisha propaganda kila siku. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Image
Na bado tunafanya miradi mikubwa ambayo thamani yake ni zaidi ya miradi inayofanyika East Africa nzima, je kukiwa na public participation kubwa c tutaongoza Africa nzima?
 
Na bado tunafanya miradi mikubwa ambayo thamani yake ni zaidi ya miradi inayofanyika East Africa nzima, je kukiwa na public participation kubwa c tutaongoza Africa nzima?
Gani? ni projected costs tu ya projects 😂 😂 😂 uchumi wenu hafifu haiwezi toboa, itawachukua miaka mingi sana kukamilisha., wacha kuota mchana, danganya vilaza wenzako, hela hamuna ila ni mipango ndiyo ipo, yale mmetimiza gharama yake ni average tu ama unapinga?, ufukara ni mbaya sana 😂 😂 😂 😂 😂
 
What do you expect from a country that conducts very little public participation, si unaona kazi yao ni kuchokora mtandao ju wamezoea kutokua involved kwa shugli za serikali. CCM imezoea kuwalisha propaganda kila siku. 🤣 🤣 🤣 🤣
Image
public participation in what?
 
Gani? ni projected costs tu ya projects [emoji23] [emoji23] [emoji23] uchumi wenu hafifu haiwezi toboa, itawachukua miaka mingi sana kukamilisha., wacha kuota mchana, danganya vilaza wenzako, hela hamuna ila ni mipango ndiyo ipo, yale mmetimiza gharama yake ni average tu ama unapinga?, ufukara ni mbaya sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kwa kukubali tunafanya miradi yenye thamani kubwa kuliko nchi zote EA combined.
 
Tukumbuke in 2022 90% of roads in Tanzania haziko tarmacked, Kenya kwa sasa ni 87% or there about.., wakubisha abishe na facts [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Evidence please? Mind you almost all of our regions and districts are connected by tamac roads
 
Back
Top Bottom