Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia mazingaombwe ya kilometers za kunyata πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… 2000 kilometers of paved roads is less expensive than 700 kilometers πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Numbers nev lie 🀣🀣🀣
Wakunya sijui ufala wa kudanganywa na viongozi wenu utaisha lini

View attachment 2247784
Stop beating around the bush. Leta link ya ile ripoti yako niliyokuitisha
 
Raila Odinga ndiye mtu wa kwanza kusema kwamba Uhuru Kenyatta alidanganya hakujenga, aliyasema enzi zile akiwa mpinzani kabla ya BBI, kumbuka Raila pia anadhama ya kuangalia miundombinu ya Afrika, Je hata yeye pia ni mwongo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Alisema yale Uhuru alisema alijenga ilikua yake na Kibaki., the point is barabara zilijengwa, lakini swali ni hili, za Uhuru ni ngapi kiuhalisia? alizo anzisha na kukamilisha..,
 
mkenya ni mtu anaependa kujisifia na kujipa matumaini ya uongo na ukimbana kwenye ukweli anakwambia una wivu nao

yani sijui wanalaana gani hvi mtu unaweza kujisifia kwa kitu huna ili ujioneshe kwa watu kua unacho πŸ˜‚πŸ˜‚


πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ hapana kwakweli
 
Alisema yale Uhuru alisema alijenga ilikua yake na Kibaki., the point is barabara zilijengwa, lakini swali ni hili, za Uhuru ni ngapi kiuhalisia? alizo anzisha na kukamilisha..,
Kama kaongopa basi tuishie hapo hapo kwamba hakuna 10k km of paved roads zimejengwa na uhuru, paved roads in Kenya ni 11k km as we speak.
 
Kama kaongopa basi tuishie hapo hapo kwamba hakuna 10k km of paved roads zimejengwa na uhuru, paved roads in Kenya ni 11k km as we speak.
Unaumia, hatuwezi fanana.., 23,000km. kalilie kwa choo nanii.., Kenya Bureau of Statistics wako na website nenda kajisomee.., mko hovyo sana, 9,000km kwa nchi kubwa kama Tz πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Fact remains 23,000km Tanzania 9000km, whether ni Uhuru ama Kibaki alijenga, ziko Kenya., kalilie kwa choo
Ziko wapi sasa hizo 23k? Au tufanye kitu kimoja, tuanze battle ya long tarmacked roads between Tz and Kenya cz hizo pekee zitatoa jibu nani ana paved roads network kubwa between us, mpo tayari?
 
Ziko wapi sasa hizo 23k? Au tufanye kitu kimoja, tuanze battle ya long tarmacked roads between Tz and Kenya cz hizo pekee zitatoa jibu nani ana paved roads network kubwa between us, mpo tayari?
Exactly., anzisha, kuna facts kibao, na google earth pia itaonyesha wazi wazi.., fungua haraka upesi niwaonyeshe Tanzania yenu ilivyo ukilinganisha na Kenya..,
 
Kwa sababu media na NGO zinatabia sawia na nzi. Kama vile tu nzi hupenda kula mavi, vile vile media na NGOs hupenda kufocuss na habari za huzuni na habari za tanzia kwa sababu habari hizo zinawaletea pesa zaidi.
Hizi data sio za media wala NGO, ni data za serikali yenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au serikali ya uhuru

Screenshot_20220602-081529.png
 
Uzuri ni kwamba sisi kila siku tunaweka miradi mikubwa ya barabara humu ndani, hizo barabara za kwenu mlikua mnazitengenezea wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani nyie fukara hamkuzoea maendeleo ndio maana any road project ni kitu kikubwa sana Tanzania, kama mnazindua lift sembuse barabara., narudia nyie ni watu hovyo sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kenya is not heaven on earth. If you expected everything in Kenya to be 100% good just because we score high in HDI then am sorry that's not the case. We are a developing country with a host of challenges, just like any other.

But the beauty with it is that despite UN reports showing we have a host of challenges like the ones you have highlighted above, the same UN reports also show that we score high in HDI. Isn't it funny that you are only comfortable with certain UN reports about Kenya but dismiss certain sections of the same UN reports? What makes one UN report true in your eye but dismiss another report by the same UN? Double standards can't get better than this.

And by the way, can you show us UN reports showing Tanzanians living in better houses? At least I can show you a UN report showing Tanzanians living in extreme poverty
Hawa ni vilaza, hawpendi ukweli ata ushushe picha from google earth showing how Tanzania looks like wao watapinga tu, very poor country out of their own ignorance.,
 
Back
Top Bottom