Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga. Leta evidence kwamba Uhuru ametumia ksh 300 billion kwa barabara in 9 years.
Treasury hapa inaonesha shillings ngapi? 😂😂😂😂

Screenshot_20220602-081529.png
 
Kenya ni zaidi ya nusu ya Tanzania kwa ukubwa. Nadhani ulifeli kwenye somo la jiografia. Kenya ni 580,000 sq kms.
Tunaongelea habitable area ni ndogo kama Rwanda na hizo 10k road network mmezijenga wapi kwenye hako kasehemu mnapoishi.
 
Can we please go through each item one by one and find out which country is better than another?
1)Food availability
2)Water availability
3)Shelter(housing)
4)Jobs for it's people
5)Health service availability
6)which citizens are in peace


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Haweki pua hapo
 
Absolutely, haudanganyi mtu dunia ya leo, zinaonekana, ila zingine sio zake zilikua za Kibaki aliacha zikiendelea, kama from Kisumu, Kakamega up to Turkana( South Sudan border) na jua hiyo hesabu amejumuisha kwa yake na zingine pia.., hapo ndio naeza sema uongo wake upo lakini sio km zilizo kamilika..,
Kilometer 10000 zinajengwa kwa billion 300 means each kilometer million 3 😂😂😂😂 hapo na compensation tayari 🤣🤣🤣 ni vichaa tu kama ninyi ndio mtaamini huu upumbavu
 
Kwa standard za Kenya hiyo ndiyo imeisha hiyo, kwani hapo nimeweka miradi mingapi ambayo haijakamilika mpaka leo na inatumika? Kenya is simply a failed state and a shit hole ever.
Wivuuu 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom