Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is at least realistic compared to the world bank data

🙄 Astonishing is the same government popping up all these unmatchable statistics within hours of interval differences 😂

Screenshot_20211214-101854.png
Screenshot_20220602-084334.png
 
Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asijenge huko majiji mengine kwa hio partnership..
Chadomo ndio kina nani kwenye hii Nchi?

Hakuna haja ya kujenga uwanja mpya kule Mwanza,CCM wenyewe watatakiwa kuukarabati uwanja wao utumike na pesa wale..

Msilete mambo ya ki mzilankende hapa .
 
Tony254 ndio maana nikakuambia nataka data from treasury, data zinaonesha pesa za ujenzi wa barabara 2020 kwenye kipindi cha uhuru zimefika billion 300, wakati uhuru anasema kajenga kilometers 10000 roughly at the lowest estimated price ni 1 trillion
 
Mwanza ipo Tanzania (2nd biggest city in Tanzania), haipo kenya wala uganda.. kukihitajika uwanja mwingine wa serikal.. serikali itajenga.. wivu kwa mwanza au sijui kwa wasukuma (mim sio msukuma) peleka kwenu.. huyu jamaa vip 🤣
Toa upumbavu hapa,Uwanja wa Kirumba haitoshi?

Na kwa taarifa yako wiki ijayo kuwa budget read out ya Wizara ya Michezo,hakuna uwanja mpya utajengwa Mwanza..

Second Biggest City hata timu moja hakuna ligi kuu,Mbeya unayoipinga ina timu 3 ligi kuu na timu 3 Championship .
 
Angalia mazingaombwe ya kilometers za kunyata 😅😅😅😅 2000 kilometers of paved roads is less expensive than 700 kilometers 😅😅😅😅

Numbers nev lie 🤣🤣🤣
Wakunya sijui ufala wa kudanganywa na viongozi wenu utaisha lini

View attachment 2247784
I remember reading this propaganda sometime back, huwezi kuficha ama kudanganya mtu upande wa barabara, yani kile kinacho onekana, u can't easily lie to Kenyans, sisi sio watanzania the reason this propaganda didn't trend in Kenya. Kenya Bureau of Statistics (KNBS) did their research and came up with the total number of paved roads in Kenya. Maybe Kenyatta achukue credit kwa zile za Kibaki alizo acha zikiendelea aseme ni yeye alifanya, but paved roads Kenya has over 20,000 kwa sasa, najua inawaumiza lakini ukweli ni huo, zoea.
 
I remember reading this propaganda sometime back, huwezi kuficha ama kudanganya mtu upande wa barabara, yani kile kinacho onekana, u can't easily lie to Kenyans, sisi sio watanzania the reason this propaganda didn't trend in Kenya. Kenya Bureau of Statistics (KNBS) did their research and came up with the total number of paved roads in Kenya. Maybe Kenyatta achukue credit kwa zile za Kibaki alizo acha zikiendelea aseme ni yeye alifanya, but paved roads Kenya has over 20,000 kwa sasa, najua inawaumiza lakini ukweli ni huo, zoea.
Hii data ni kutoka kwenye authorities zenu, kwa akili yako kilometers 2000 za lami zinaweza kujengwa kwa bei rahisi kuliko kilometers 700

Na kuna uwezekano wa kujenga kilometers 8000 kwa miaka mitatu?

Screenshot_20220602-081529.png
Screenshot_20220602-082309.png
 
Hivi vitu vinaongeza shortage ya fuel kwetu huku dunia ya tatu . Maana mfumuko wa bei unaongeza kwa kasi ya ajabu . Impact yake itakua mbaya Afrika kuliko huko kwenye vita
Hakuna namna, nikuvumilia tuu kaka. Ni new world order inalazimishwa ila warusi wamesema hapana, kwa gharama yoyote ile, kama walivyofanya pale Stalingrad.
 
Nimekuambia uniletee 1 trillion ikitumika kujenga lami kwa miaka 9, matokeo yake imeniletea mipasho

Haya niletee kilometers angalau 5000 basi alizozindua kwa mkupuo.
5000 mbona nyingi kupata kilometers 10000 inabidi uwe unajenga barabara nyingi za urefu mkubwa. Sasa embu watupe angalau barabara moja yenye urefu wa km 500 iliyojengwa mwaka 2021/2022 au 2020/2021
 
Back
Top Bottom