Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hii wivu yenu itawasaidia na nini? Kwamba Wabongo hamtaki kukubali kwamba Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads licha ya rais wa Kenya kuitaja mara kadhaa jana mbele ya dunia? Sasa rais atatoa wapi ujasiri wa kudanganya dunia?
Nilitegemea mngejibu hoja, badala yake mnakimbilia kusema tuna wivu 😂😂, kumbe suala la kupika data Kenya lipo hadi kwa mkuu wa nchi
 
Tukumbuke in 2022 90% of roads in Tanzania haziko tarmacked, Kenya kwa sasa ni 87% or there about.., wakubisha abishe na facts 😂 😂 😂 😂 😂
 
Absolutely, haudanganyi mtu dunia ya leo, zinaonekana, ila zingine sio zake zilikua za Kibaki aliacha zikiendelea, kama from Kisumu, Kakamega up to Turkana( South Sudan border) na jua hiyo hesabu amejumuisha kwa yake na zingine pia.., hapo ndio naeza sema uongo wake upo lakini sio km zilizo kamilika..,
😂😂😂 Heb tuonyeshe angalau uzinduzi wa 500km za barabara
 
The same UN reports and international media houses are the ones saying our HDI is ahead of yours. The same UN bodies and international media houses are the same ones saying that our per capita income is higher than yours. The same UN bodies are the ones saying that Tanzania has more people living in extreme poverty than Kenya. Who are you to UN reports and international media houses?
Why the same UN bodies and International media houses do not show Kenyans who live in better houses instead they show them suffering in slums without water or toilets, they don't show Kenyans with bigger per Capita instead they show Kenyans who live in extreme poverty and those who don't have jobs?.

The same UN bodies and International media house they request food donations for over 3M Kenyans who suffer from chronic and acute starvation, whey don't they show us higher HDI instead they tell us about crime, slums, hunger, Tribalism and high cost of living in Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ulitaka watu wapite ndani ya bahari hapo Mombasa mzee? kwa vile hiyo njia inakutoa Mombasa Island na pia kando yake ni godowns na mali za watu, na kuna sehemu bahari iko, hiyo njia ya pwani ilikua sasa inapanuliwa na kukarabatiwa upwa, traffic lazima, kama vile Thika road ilijengwa, na bypasses etc.., magari yanatengenezewa nafasi kando ujenzi ukiendelea, kisha sehemu inayokamilika kiasi wanaruhusiwa kupitia kupunguza foleni, ni kawaida sana duniani unless it is a totally new road not an upgrade, ama kuna alternative routes ya traffic basi litafungwa kabisa, pengine wewe ni mshamba tu, hauna exposure.
Kwa standard za Kenya hiyo ndiyo imeisha hiyo, kwani hapo nimeweka miradi mingapi ambayo haijakamilika mpaka leo na inatumika? Kenya is simply a failed state and a shit hole ever.
 
Absolutely, haudanganyi mtu dunia ya leo, zinaonekana, ila zingine sio zake zilikua za Kibaki aliacha zikiendelea, kama from Kisumu, Kakamega up to Turkana( South Sudan border) na jua hiyo hesabu amejumuisha kwa yake na zingine pia.., hapo ndio naeza sema uongo wake upo lakini sio km zilizo kamilika..,
Cc Tony254 Teargas nairobae MK254 Mashashola komora096 kujeni muone mwenzenu amekiri kwamba Uhuru ni muongo, sasa kuanzia leo nisisikie mkunya anasema Uhunye amejenga 10k km of paved roads

Oya chongchung umewakaba kooni mpk wanasema ukweli sasa
 
Hata wakijumlisha na za vumbi bado hazifiki 10k km, kanchi kenyewe kama Rwanda kwa ukubwa, hizo 10k watazijengea wapi.
Kenya ni zaidi ya nusu ya Tanzania kwa ukubwa. Nadhani ulifeli kwenye somo la jiografia. Kenya ni 580,000 sq kms.
 
This is summed up in reputable reports published by respected bodies such as HDI reports by the WB or IMF. last time I checked, Kenya scored higher than Tanzania in Human Development Index. Next?
Can we please go through each item one by one and find out which country is better than another?
1)Food availability
2)Water availability
3)Shelter(housing)
4)Jobs for it's people
5)Health service availability
6)which citizens are in peace

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I remember reading this propaganda sometime back, huwezi kuficha ama kudanganya mtu upande wa barabara, yani kile kinacho onekana, u can't easily lie to Kenyans, sisi sio watanzania the reason this propaganda didn't trend in Kenya. Kenya Bureau of Statistics (KNBS) did their research and came up with the total number of paved roads in Kenya. Maybe Kenyatta achukue credit kwa zile za Kibaki alizo acha zikiendelea aseme ni yeye alifanya, but paved roads Kenya has over 20,000 kwa sasa, najua inawaumiza lakini ukweli ni huo, zoea.
Raila Odinga ndiye mtu wa kwanza kusema kwamba Uhuru Kenyatta alidanganya hakujenga, aliyasema enzi zile akiwa mpinzani kabla ya BBI, kumbuka Raila pia anadhamana ya kuangalia miundombinu ya Afrika, Je hata yeye pia ni mwongo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Why the same UN bodies and International media houses do not show Kenyans who live in better houses instead they show them suffering in slums without water or toilets, they don't show Kenyans with bigger per Capita instead they show Kenyans who live in extreme poverty and those who don't have jobs?.

The same UN bodies and International media house they request food donations for over 3M Kenyans who suffer from chronic and acute starvation, whey don't they show us higher HDI instead they tell us about crime, slums, hunger, Tribalism and high cost of living in Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu media na NGO zinatabia sawia na nzi. Kama vile tu nzi hupenda kula mavi, vile vile media na NGOs hupenda kufocuss na habari za huzuni na habari za tanzia kwa sababu habari hizo zinawaletea pesa zaidi.
 
Can we please go through each item one by one and find out which country is better than another?
1)Food availability
2)Water availability
3)Shelter(housing)
4)Jobs for it's people
5)Health service availability
6)which citizens are in peace

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Listen joto la Jiwe, not everything should go your way to win an argument. We will list all those things you've mentioned above and at the end of it, you'll use your OWN judgement that Tanzania is doing better than Kenya just the same way I'll use my OWN judgement to say the same about my country. Just the same way we argue here about which city is better than the other. It all boils down to patriotism coz no one will accept that his country is doing poorly in a specific area. But at the end of the day, this won't change the UN reports coz they (UN) know better than you and I
 
Unatakiwa upinge kwa hoja kwamba hayo aliyo mention joto la jiwe ni uongo na sio kutumia hasira.
 
Attachments

  • Screenshot_20220602-105152.png
    Screenshot_20220602-105152.png
    40.5 KB · Views: 19
Why the same UN bodies and International media houses do not show Kenyans who live in better houses instead they show them suffering in slums without water or toilets, they don't show Kenyans with bigger per Capita instead they show Kenyans who live in extreme poverty and those who don't have jobs?.

The same UN bodies and International media house they request food donations for over 3M Kenyans who suffer from chronic and acute starvation, whey don't they show us higher HDI instead they tell us about crime, slums, hunger, Tribalism and high cost of living in Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya is not heaven on earth. If you expected everything in Kenya to be 100% good just because we score high in HDI then am sorry that's not the case. We are a developing country with a host of challenges, just like any other.

But the beauty with it is that despite UN reports showing we have a host of challenges like the ones you have highlighted above, the same UN reports also show that we score high in HDI. Isn't it funny that you are only comfortable with certain UN reports about Kenya but dismiss certain sections of the same UN reports? What makes one UN report true in your eye but dismiss another report by the same UN? Double standards can't get better than this.

And by the way, can you show us UN reports showing Tanzanians living in better houses? At least I can show you a UN report showing Tanzanians living in extreme poverty
 
Sasa hii wivu yenu itawasaidia na nini? Kwamba Wabongo hamtaki kukubali kwamba Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads licha ya rais wa Kenya kuitaja mara kadhaa jana mbele ya dunia? Sasa rais atatoa wapi ujasiri wa kudanganya dunia?
Hii ni data kichaa tu kama wewe ndio anaweza kuiamini na imetolewa na treasury yenu

Screenshot_20220602-081529.png
Screenshot_20220602-082309.png
Screenshot_20220602-083327.png
 
Back
Top Bottom