Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heb check details vizuri mzee... hii ni direct from my A52 Samsung phone camera.. lol.!
 
Hadi Kigogo 2014,pia walimuomba awe anatoa habari za Kenya akawaambia tengenezeni Kigogo wenu [emoji16][emoji16][emoji23]
🤣 nenda tik tok sasa 90% ya wakunya wanatumia trending za TZ kupost,comedy,music,sports n.k na ukuti Mtz akijishughulisha na vitu vya kunyaland,yan sisi hatuna habari nao kabisa,wao sasa kila kizuri chetu na wao chao
 

Tarehe 26/05/2022.
Mbona huwa hawa wakunya hawapost picha walizopiga wenyewe! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuvumbua umesema wewe! Mimi nimeomba kampuni ya money transfer service iliyotumia that catchy phrase kabla ya NALA!

Just creative vibes...!!






 
Blessed Tanzania ndani ya wilaya ya Bunda mkoani Mara 👇.. jamaa zetu wa north vitu kama hiv huko ndani ndani kwao wanavionaga tu kwenye Tv 😂😂😂 yani kwao kula matunda ni utajiri.. wazembe sana hawa wakunya, hawawezi kuzalisha hata chakula chao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…