Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah hili swali lako itabidi uwaulize wahusika! Timetable inamaanisha pia utaratibu bora.
 
Sa mbona unaweka shule kulinganisha na makazi ya watu.?
Hizo ni makazi ya watu ama jehanamu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
I can feel your pain and dissapointment. Na imagine hapo bado nipo tu maeneo ya Eastlands!
Povu imeisha au bado?

Eastlands still


Dar is slum πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-233858.png
    484.9 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220527-155502~2.png
    490.1 KB · Views: 31
  • Screenshot_20220527-124538.png
    496.3 KB · Views: 31
  • Screenshot_20220527-233802.png
    462 KB · Views: 33
even upto Giturai45 Estate, some 20km away from the cbd, houses are still consistently planned and organised, you can even ask Shebby01, hoping this tyme round he'll be touched to open his heart and say truth about the planning, organization and the general standards of ALL the estates within nairobi


Githurai45 EstateπŸ‘‡πŸ½
 
Sheria zinaruhusu au ameamua liwalo na liwe tu[emoji2][emoji2][emoji2] barabara mkeka mwendo mdundo nini shida.
Ameamua liwalo na liwe. Sheria haziruhusu 180 kph. Hio ni kutafuta kifo hata kama hakuna bumps na kuna interchange katika kila junction siwezi kupiga 180. Sina huo ujasiri.
 
Wakenya wanamjua na kumfollow mpk mange,wanawajua hadi wakuu wa mikoa ya TZ while sidhani kama kuna MTZ anamjua hata VP wa kunyaland
 
Angalia hapo kuna mkunya kaamua awe mkweli tu
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-014535_Gallery.jpg
    133.3 KB · Views: 38
Mtanzania mmoja aliyejaribu huo upuuzi wa kupiga 180 kph alikufa kwa ujinga wake. Barabara ambalo ni single-carriageway,lina round-abouts na lina bumps utakuwa zuzu kujaribu kupiga 180 kph pale.
 
Wewe wacha ujinga. Sentensi "Tuma na ya kutolea au tuma na ya kutoa." Ilianza Kenya. Kumbuka Mpesa ilivumbuliwa Kenya na sio Tanzania. Mpesa ilivumbuliwa Kenya na Safaricom April 2007. Technolojia hii ilizinduliwa Tanzania mwaka mmoja baadaye mwanzoni mwa 2008. Kwa hivyo sentensi hio ilitumika Kenya sana kabla hata teknolojia hio haijafika huko kwenu.




 
I am with you all the way.

The greatest leader of all time.
 
Kwahiyo hata Polisi akitokea hawamuelewi?
Inchi hii ina shida jamani[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kweli sijui polisi wana tumia mbinu ghani kupambana na hawa jamaa🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ila we jamaa pumbafu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asa sjui unatudanganya au unajidanganya
Kanairo umezoom in. dar umeisogeza mbali sana
Tabia za kikenya kabisa hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…