Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just point out one infrastructural project accomplished by Samia?

Kikwete borrowed over 25 Trillion Tsh - ZERO accomplishment!

Magufuli borrowed less than 26 Trillion - amazing accomplishments!

Just a year, Samia borrowed over 16 Trillion - spends on trips, salaries and allowances.

No one in their right mind atafurahia ujinga - only a fool like you.
 
Nimecapture hii just a moment ago.. ndege mbil za mbal sana zinapishana
Hio yenye moshi inaonekana ilikuwa na spid, mana before..huyo mwingine alikuwa karibu..mara naona kapitwa distance ndefu after intersection point
View attachment 2241742
Hapa separation ni 1000 feet, moja ako FL even mwingine FL odd, all at cruising altitudes
 
Next year hata ikipata 1.5tr itapendeza zaidi. Maana kilimo ndio backbone ya nchi yetu tukiweza kupandisha GDP ya Kilimo itainua watu wengi sana kutoka umaskini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kweli natamani sana iongezeke kwa kiwango hicho au hata kuzidi hapo [emoji106][emoji106]
 
Ni kweli bwana majengo mengi hayatumiki unakuta ndani ni mazalia ya popo, nyumba zimechakaa tu.

Serikali isipoteze pesa za wananchi kwa kujenga majengo ambayo hayatatumika. Wakifanya hivi wataokoa pesa nyingi sana ambazo zitafanya mambo mengine.
 
Hii nchi unaishi pekeyako?unavyoandika vitu uwe na evidence sio porojo
 
Complishments za Magufuli ziko wapi? Taja hata moja ..

Hujaona chuki binafsi zisikufanywe kuwa mpumbavu..

Salander bridge ikiwa imekamilishwa? Juzi Rais alikuwa kuzindua barabara aliyoimalizia nani?.

Harafu usiwe mpumbavu,miradi aliyomaliza JK huijui? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220520-151448.png
    155.9 KB · Views: 32
Nairobi always full of events. This week pia kulikua na Africa Day.



Leo kuna Motor Expo at Waterfront Karen


Last week we had power and energy expo at KICC


Jameson Connect at Carnivore





The previous week kulikua na build expo at KICC



Next week ni Drone Expo
 
I repeatedly said, "you are very stupid".
 
Aisee hapa inahitaji utulivu kujua which is which,au zimetofautiana some of specifications and Area.Wajuvi wa mambo ngoja waje.
 
Sio kwa mingumi ile, kuchukua bondia wa uzito wa juu ukampiganisha na bondia wauzito wa chini, hizo sio ngumi ni mauwaji.according to Nyerere 1995.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] promota lazima afungiwe maisha. Anyway ngoja tuyaache yameshaisha haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…