Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nigeria ni chenga sana though wanatuambia wanaweza colonize EAC ....iyi statement inaogofya
Those people really hate engaging Kenyans. They always hide behind South Africa when they want to attack Kenya.
 
Shida tulio nao kama waafrika, tungekuwa na uwezo wa kujiaminia sisi wenyewe, tungekuwa mbali sana.. viongozi wetu huchukua pesa za serikali ambazo zingetumuwa kwa ujenzi wa hospitali, ununuzi wa equipment na uajiri wa madakitari halisi..kisha baadae wakigonjeka wanakimbia ughaibuni

Ndiyo shida hiyo. Tena kubwa. Maana usipojiamini wewe mwenyewe nani atakuamini!!?? Usipojijali nani atakujali, usipojipenda nani atakupenda. Tujitathimini kwa kweli.
 
Of course mimi ni form 4 leaver lakini wewe kichaa wa University huwezi niambia kitu 😅😅😅
Hukufika form 6? Huko kwenu Tanzania nilifikiri high school inafikia tamati form 6. Kama ulifika form four pekee badala ya form 6 mbona tusikuite high school drop-out?
 
Did any Kenyan beg you to create Kenyan section ama ni umbeya wenu ndio ulieafanya mkaeka? Even JamiiForums.com there is a section for Tanzanians. Actually most Kenyans are not aware of JF apart from sisi wenye tuko huku, I'm sure hata hatufiki 20.
Wewe unasubiri nini humu?
 
Japo joto la jiwe ni kichaa, uzuri wake yeye huwa mkweli. Yeye huwa anasema wazi kwamba yeye ni form four failure bila kuficha.
Screenshot_20220526-161859.png
 
Iyo skyscrapercityforum hata mm nipo na huko naira nn kote nimo ..Sasa kule utamtambia nani na wakati unajua mko nyuma kwa kila ki2...labda useme unalazimika kua humble

Ungejua jinsi Wakenya wana kiherehere hungesema kwamba tumeshindwa kutamba huko skyscrapercity. Jifunze tu kwamba Wakenya na kiherehere yetu hatuwezi kushindwa kutamba mitandaoni. Algeria ndio nchi yenye michango mingi zaidi skyscrapercity na michango 456k. South Africa ndio ya pili na michango (263k). Kenya ni ya tatu kwa michango skyscrapercity (203k). Tanzania ina michango 50k pekee katika skyscrapercity. Wakenya wametoa michango mara nne ya Watanzania huko. Nigeria na watu wao 200 million bado Kenya imewapiga kwenye michango. Mnigeria kabla acharge simu na generator, unategemea apate wapi muda wa kuchangia?

Screenshot_20220526-163604.png
Screenshot_20220526-163611.png
 
Tupatie latest statistics kama hizi, public schools zenu zote upuzi tu, elimu bongo ni ya matajiri tu. 🤣 🤣 🤣

Image

Alafu kama mkona 950,000 primary school candidates, inakuwaje mkona less than 483,000 secondary school candidates, yani over 50% wanadrop out after primary school. Aibuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣. Enyewe kwa ground vitu ni different.

View attachment 2238241
Alafu picha wanatumia Ni ya Moi girls Eldoret!!!
 
Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.

Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.
Huyu dada hakuwatukana watanzania, wacha kujaribu kumgombanisha na watanzania, yeye alitoa maoni yake baada ya kuulizwa swali ataje tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, Sasa hayo matusi aliyosema ni yapi?, Hivi kusema mtu Fulani anafanya kazi zaidi kushinda mtu mwengine, hayo ni matusi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hukufika form 6? Huko kwenu Tanzania nilifikiri high school inafikia tamati form 6. Kama ulifika form four pekee badala ya form 6 mbona tusikuite high school drop-out?
Bongo ukifail exam you can not proceed to the next level of education, system ya mateso hio, huyo hata high school sidhani alifika.
 
Ungejua jinsi Wakenya wana kiherehere hungesema kwamba tumeshindwa kutamba huko skyscrapercity. Jifunze tu kwamba Wakenya na kiherehere yetu hatuwezi kushindwa kutamba mitandaoni. Algeria ndio nchi yenye michango mingi zaidi skyscrapercity na michango 456k. South Africa ndio ya pili na michango (263k). Kenya ni ya tatu kwa michango skyscrapercity (203k). Tanzania ina michango 50k pekee katika skyscrapercity. Wakenya wametoa michango mara nne ya Watanzania huko. Nigeria na watu wao 200 million bado Kenya imewapiga kwenye michango. Mnigeria kabla acharge simu na generator, unategemea apate wapi muda wa kuchangia?

View attachment 2239539View attachment 2239540
Umepata bragging rights? sasa ulivyokuwa unasifia Nigeria humu ndani? Kiherehere sio? Kuna mmoja juzi katembelea Nairobi anasifu kupita siku mbili bila power cut! Seriously?
 
Japo joto la jiwe ni kichaa, uzuri wake yeye huwa mkweli. Yeye huwa anasema wazi kwamba yeye ni form four failure bila kuficha.
View attachment 2239474
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ungejua jinsi Wakenya wana kiherehere hungesema kwamba tumeshindwa kutamba huko skyscrapercity. Jifunze tu kwamba Wakenya na kiherehere yetu hatuwezi kushindwa kutamba mitandaoni. Algeria ndio nchi yenye michango mingi zaidi skyscrapercity na michango 456k. South Africa ndio ya pili na michango (263k). Kenya ni ya tatu kwa michango skyscrapercity (203k). Tanzania ina michango 50k pekee katika skyscrapercity. Wakenya wametoa michango mara nne ya Watanzania huko. Nigeria na watu wao 200 million bado Kenya imewapiga kwenye michango. Mnigeria kabla acharge simu na generator, unategemea apate wapi muda wa kuchangia?

View attachment 2239539View attachment 2239540
Hii skyscraper ninawezaje kujiunga?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom