Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani huoni venye wakenya wanashambulia Nigeria and Ghana huko? For that Tanzanian guy I can't say much about him cause he always post ocean and mountains. There was a time Kenyans became unbearable in Nairaland hadi Nigerians, South Africans and Ghanaians teamed up to roast Kenya.
Nigeria ni chenga sana though wanatuambia wanaweza colonize EAC ....iyi statement inaogofya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] I know vile unajifeel useless pole...you can't call sm1 useless you know nothing abt him you must be stupid or something.....
FYI wewe ni kilaza taslimu
Are you sure you are a him?
You reply like a hood rat who dropped out of school
 
Graduates(wanaomaliza degree)
Tanzania ni wengi sana tatizo mamlaka husika huwa wazembe ku update taarifa.

Alafu kingine ni kwamba usilinganishe nchi ambayo mtu anamaliza form four anaenda chuo na nchi kama Tanzania, graduate mmoja wa Tanzania ni sawa na graduands 20 Kenya, ni wachache watanielewa.
 
Sasa wewe class 1 dropout unafaa kushukuru jamii forums imekupea chance ya kubishana na graduate mkenya otherwise kama sio internet singewahi jua watanzania hawasomi
Wewe mbwa ulitoka form four ukaenda chuo na ulisoma history, usije kujaribu kubishana na mm hata cku moja.
 
Sasa unasubiri nini hapa JF c uondoke? Kwann unatumia muda mwingi kuwa jf kuliko nairaland na skyscraper city mbwa wewe.
Wacha hasira soja, kuna video yako pale youtube ukiomba mzungu akusaidie kuenda Europe. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hali ya maisha bongo inakupiga kichapo cha punda.

1653567547590.png
 
Kwani huoni venye wakenya wanashambulia Nigeria and Ghana huko? For that Tanzanian guy I can't say much about him cause he always post ocean and mountains. There was a time Kenyans became unbearable in Nairaland hadi Nigerians, South Africans and Ghanaians teamed up to roast Kenya.
Washenzy nyie msiofugika bila kuwasimamia kidete humu ndani mngeshindikana! Nakumbuka mwanzo mlikuwa hamna section mlikuwa mkijaza arrogance na propaganda humu!
 
Vipi hiyo inaondoa njaa na mateso mlinayo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si mnaona, this should tell you something about the certificate he posted today [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I didn't know you are still pained. Please do remind me anytime of the year to post my certificate, if I fail then you will be right. If I do, then you will be the idiot of all time.
 
Wacha hasira soja, kuna video yako pale youtube ukiomba mzungu akusaidie kuenda Europe. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hali ya maisha bongo inakupiga kichapo cha punda.

View attachment 2239379
Hapo naona ni ngazi za kuelekea departure, hawa wazungu ni mbwa sn cjajua kwnn mnawapa credit kubwa, sasa hapo usikute mwamba alikuwa anatania tu mana jamaa yuko TAA mshahara mzuri tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya ranks 7th in terms of internet usage
Morocco Tops the list at 1st place while Tz as per this list is second last overtaking only 1 country

Washenzy nyie msiofugika bila kuwasimamia kidete humu ndani mngeshindikana! Nakumbuka mwanzo mlikuwa hamna section mlikuwa mkijaza arrogance na propaganda humu!
Did any Kenyan beg you to create Kenyan section ama ni umbeya wenu ndio ulieafanya mkaeka? Even JamiiForums.com there is a section for Tanzanians. Actually most Kenyans are not aware of JF apart from sisi wenye tuko huku, I'm sure hata hatufiki 20.
 
Ahsante. Kwahiyo hata miradi inayotekelezwa si inaingia sasa kwenye Per Capital au GDP? Tanzania tunatekeleza miradi mingi sana kwahiyo sisi ni matajiri.
Inaingia Kwenye GDP then ikigawanywa kwa idadi ya watu ndio inaingia kwenye per capita
 
Kosa la marehemu ndio katuingiza cha kike kwa mamiradi ya bila mpango...

Kwa mtu anaestaafu leo Kazi anayo yaani ni hasara tupu..
Magu alitupeleka uchumi wa mbele mama katupeleka uchumu wa nyuma kwa mparange[emoji1787] machoko mna shangilia uchumi wa kwamparange
 
Back
Top Bottom