Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is the 3rd largest Gold producer on the continent behinds Ghana And S.A...
Mining kwa ujumla wake hutengeneza $2.5B kwa mwaka ...inawezekana ndio maana Tsh imekua stable against $for 5 good yrs
 

Asilimia 90? Hizi Takwimu za wapi kaka? Yaani maana yake TRA wanakusanya 10% tu?
 
Nikwasababu tunajenga na reli kwa wakati mmoja imagine wangeamua kujenga barabara kwa iyo budget ya reli ...tungeweza kujenga 10,000km ndani ya miaka mitano...tena asphalt yenyewe sio surface dressing...tungeweza kujenga izo flyover hata 20 na nk...
Ila naona sio mbaya katika wizara inayohitaji kupelekewa fedha nyingi hii wizara nayo imo...
 
Mazungumzo ya Biashara Ikulu ya Ghana 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220525-191844.png
    164 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220525-193231.png
    160.8 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…