Unaelewa ulichokisema?
Unasema dar ni ndogo sana kwa Nairobi au sijakuelewa ndg?Ndiyo labda unaweza kunisahihisha lkn Dar sijaona public park kama vile Uhuru Park Nairobi hata botanic garden Dar ni ndogo sana na wameimega yote wamejenga skyscrapers, Coco beach yenyewe kama siyo Magufuli na Lukuvi ilikuwa tayari imeshauzwa na kupigwa uzio, mji wa watu zaidi ya milioni 4 lkn hakuna public places za maana za kupumzika kama zipo unaweza nitajia!
Unasema dar ni ndogo sana kwa Nairobi au sijakuelewa ndg?
Siku zote wazungu sio wenzako na hivi vipimo vyao vya GDP etc ni vya kufurahia sawa ila sio kutia maanani..yes hili lilionekana sana kwa Magu..wazungu nao ni wanafki sana na wanapenda kujivutia kwao..so sio swala geni..Point yangu mkuu ni kipindi cha mwenda zake pamoja na jitiada zote , lakini hawa imf na wb ni kama walikuwa hawa except kinachonfanyika, na tuliongea hapa mwaka jana kwamba kwa style ya mama tegemea GDP yetu kukuwa kwa kasi, point sio kwamba ndio imekuwaa hapana ilisha kuwa ila wao waligandisha kwa makusudi,ndio mana hata hesabu zinagoma, alafu iyo 77bill sio prediction ni outlook ya april, inamana kwa sasa uchumi wetu ni 77 as for aprilView attachment 2238391
Plan ya 100km ring highway imeishia wadi?Pugu kifuru hadi bunju njia 6 iko katika manunuzi 34kmView attachment 2238258
😅 That drone looks perfectly intact.
Sababu kunyaland hamuwezi kufika hizo levels, Tanzania pamoja na kuwa na miradi mingi ya ujenzi from SGR, roads, ports, buildings, dams, airports etc lakini hutomuona foreigners akioperate machines and still there's potential reserve team for EACOP anytime!Wewe primary school dropout ukona very low IQ. 🤣 🤣 🤣 Mimi nikuje Tanzania kuona watoto wadogo wakiendesha tingatinga, are you out of your mind.
Sina uhakika nalo hili mkuu.Hapana, nasema Dar hatuna public parks au maeneo yaliyotengwa rasmi kwa watu kupumzika, ilifaa Mnazi mmoja lkn imeafungwa miaka yote!
Inapoteza 90%hehe my friend good evening izo ni wishful thinking...Ukusanyaji wa kodi unategemea na taasisi makini ya ukusanyaji kodi, TRA inapoteza karibia asilimia 90% ya kodi inayotakiwa kukusanya kwa mwaka, kwa uchumi wa Tanzania kama TRA itakuwa efficient kwa kutumia njia za kisasa katika kukusanya kodi basi Tz haitategemea mikopo kutoka afdb au mabeberu.
Doesn't change the fact, tena Nyinyi hata mkuwe na F-35 bado itakuwa useless, ni kama zinalala tu, zimekuwa grounded.Kwa ushauri tuu , huu ujinga na upupu ulio weka hapa kawaonyeshe wakunya wenzio ili kuwapa moyo...Na ukweli ndio huuu, [emoji116]..ivi unajua hata viwanda vilianzia British, lakini wengine wakafanya copy and peste na kuupgrade...View attachment 2237334View attachment 2237335View attachment 2237336View attachment 2237337View attachment 2237338
Kuna afisa kilimo mmoja alinambia mifugo yote itapewa namba,na hitaruhusiwa kuuzwa nje ya minada ..kwa kupitia njia iyo mapato kutokana na mifugo yatapanda...pia kuna ushuru fulani watalipaIvi mkuu unajua kuwa Tz ndio nchi ya pili kwa idadi kubwa ya ng'ombe Afrika? Lakin sinaa uhakika hata kama tuna fikia 2% revenue kutokana na ng'ombe kuanzia maziwa, nyama mpka ngozi
Yes hapo kwenye FDI Mama kaweza sana hela imekuja mobHii Budget kwenye sector za barabara its just shit..mwaka mzima tunajenga lami almost 600km apart from barabara za zege na BRT unless nmesoma vibaya...
Plus nmeona argument yako ya GDP..
Nakumbuka niliwahi kuuliza sana hili swala skyscrapper city forum kuna kipindi %growth ya kenya haikuendana na GDP yao . iliongezeka kama kwa 10billion hivi instead of 6 to 7 billion..i was so suprised ..hizi hizi
Anyways hizi ni projection za IMF Tz GDP is around 71 to 72bil usd ...kama tukienda sambamba na rate ..ya mwaka jana ya 4.8%
77 ni projection ya this year ...
Plus kuna factrors zinazoweza kupeleka rapid GDP growth and thats why i trust data za IMF at point
1.FDI ikikua ghafla na kwa samia FDI tu mwaka jana imekuwa by 5bil usd i think
2.Remitance
3.Oil kupanda au kushuka (mfano angola au nigeria
4.Stability ya Currency against USD incase of Tz Dola imecheza 2300 kwa kama 5 good years our currency is one of most stable in africa..si shangai kwann governor wetu yuko top 3 among the best in africa ..
tuusan @Simba254 Tony254 @ dyfre chongchung View attachment 2238375
Sina uhakika nalo hili mkuu.
Hii iwe kweli shida tuna mipango mizuri sana lakini utekelezaji wake unaleta shida. Mambo hayaendi kama inavyotakiwa.Kuna afisa kilimo mmoja alinambia mifugo yote itapewa namba,na hitaruhusiwa kuuzwa nje ya minada ..kwa kupitia njia iyo mapato kutokana na mifugo yatapanda...pia kuna ushuru fulani watalipa
Ndio maana nikasema sina uhakika nalo hili, siyo mwenyeji sana me niko mkoani huku mashamabani.Dar ni wapi tuna public park ambapo unaweza tu ukaenda kupumzika mchana ukakuta pametengenezwa vizuri majani yamekatwa na kumwagiliwa maji na kutunzwa ? Wapi kuna bustani ya wote Dar ?
Thinking we're always in a competition, this post is basically posting about Kenyan pimped up matatus 🤣.Been watching Tanzanians in several forums and online spaces Sana lately, I think I now understand where they coming from ... I believe most of them had not exposed themselves to the outside world that much and there leaders had made them believe they the best In most things. Now with most of them getting exposure via the internet they find it hard to comprehend that they aren't the best in some of the things they believed they good at. They end up living a lie claiming the west is against them, calling every data cooked data, niliona mwingine akichekelewa reddit and I really felt for him
Ndio maana nikasema sina uhakika nalo hili, siyo mwenyeji sana me niko mkoani huku mashamabani.
Hope we will reach 80bill soon,sababu inasaidia sana kupunguza umaskin japo sio kwa real senseSiku zote wazungu sio wenzako na hivi vipimo vyao vya GDP etc ni vya kufurahia sawa ila sio kutia maanani..yes hili lilionekana sana kwa Magu..wazungu nao ni wanafki sana na wanapenda kujivutia kwao..so sio swala geni..
Ukifanya kazi na wazungu ndo utajua walivyowanafiki ....
So nakupaliana na wewe ..
Anyways cha muhimu ni kuwatoa wa Tz wengi kutoka kwenye umaskini as much as possible