Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In that case you didnt learn a thing about Tzanian, Last year our GDP were around 65 bill and our growth rate were around 4% kindly explain it to me how did we endup with 77bill as par april this year? Kama sio tuna chezewa hapa .
GDP ya Tz ni $150b, itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200b hapo ni makadirio ya chini tu mana miradi ya kimkakati itakuwa ishaanza kujibu.
 
Umeongea point kubwa sana,wanapitia haya maandiko wanaishia kuuma meno kwa hasira na kugonga meza hawatayafanyia kazi labda Rais aseme atawafukuza kazi hapo ndipo utawaona na vitambi vyao wanafoka mate hadi yanawatoka mdomoni utafikiri koboko yuko hatarini. WANAUDHI HAWA WATU SI MCHEZO.
 
Nyie ni wengi kutushinda. Sisi tuna wanafunzi wengi wa shule ya msingi na upili kwa sababu Wakenya wanasoma sana kushinda Watanzania. Huo ndio ukweli japo ni mchungu.
Tumewazidi kdg ila mnazaliana kama nzi ndiyo maana mnatuzidi kwa idadi ya infants, itakapofika mwaka 2030 mtakuwa na population mara mbili ya sisi.
 
Yani ukitaka kujua hawa jamaa ni vilaza na hawana elimu eti Tony ndio the most educated person kwa Wakenya wote walio humu kwenye hii thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hio ndio drone yenu ya kijeshi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ya kwenu hii hapa, Africa bhn [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787]
 
Jiulize ikiwa elimu ya msingi na sekondari Tz inatolewa bure na almost 99% ya watoto wote wenye umri wa kwenda shule ya msingi wanakwenda, je inakuwaje mtuzidi idadi ya watoto wanaokwenda shule ilihali kwenu elimu co bure? Yani maana yake kuna wanafunzi wengi wa maskini hawajaenda shule lkn bado mnatuzidi. Mnazaliana sana wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu lete risiti uliyolipa kwa kutumia Xpress way cku ya juzi.
 
Elimu ya msingi ni bure Kenya. Kibaki alileta elimu ya bure Kenya mwaka wa 2003. Yaani wewe naona hujui lolote kuhusu Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…