Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kaka kuna watu walifanya tathmini TPA ports zinaweza zikatoa zaidi ya 5 trillion a year just from port service .....TPA wanakusanya 900billion tsh currently
Nini kifanyike sasa hapa ndg. Me nikisikia hivyo roho inauma na nikiona tunahangaika kutembeza bakuli huko kwa watu ili tujazie jazie bajeti yetu. Ni aibu kabisaa hii. [emoji24][emoji24]
 
Special forces in Somalia. ATPU Unit.

15427614_600x2001_jpeg37b61bf13b5257f534bf109d668d3907.jpeg
 
Sikilizeni udambwi udambwi huo huku kigoma kule karema Wakongo washindwe wenyewe tuu

JICA ni partners wazuri sana kwenye mambo ya upanuzi wa bandari na kuchora masterplan na kufadhili ujenzi wa bandari. Wao ndio wafadhili wakuu wa Mombasa port. Mna bahati mmepata hawa wafadhili katika port ya Kigoma. Hizi port zenu za Mwanza na Kigoma zinastahili kupanuliwa kabisa kwa sababu bado ni ndogo sana. Pia mnastahili kujenga meli nyingi kubwa kubwa kwenye ziwa Victoria na Tanganyika. Mimi najua mnajenga meli kubwa moja pekee katika ziwa Victoria.
Mnastahili kujenga meli kama tano kubwa ndani ya ziwa Victoria na nne kubwa ndani ya ziwa Tanganyika. Kisha muwashinikize majirani wenu pia wapanuwe port zao. Hio itafanya biashara yenu na DRC na nchi zingine kudouble au kutriple. Potential mnayo kubwa lakini kwa maoni yangu sioni kama mnainvest ya kutosha kwenye upanuzi wa mabandari na ujenzi wa meli kubwa katika haya maziwa mawili. Japo tangu wakati wa Magufuli angalau mumeanza kuivest kwenye inland ports na meli, nadhani kabla ya Magufuli marais wa awali walikuwa wametelekeza ujenzi wa hizi inland ports. Ni maoni yangu tu.
 
Baada ya mass shooting iliyouwa watu 10 huko Buffalo New York, leo kuna mass shooting iliyofanyika huko Texas na kuuwa watu 15 ikiwemo wanafunzi 14 na mwalimu 1. Hii ni kwa sababu ya too much freedom. Huko USA bora huna criminal record, una haki ya kumiliki bunduki. Katika state la Texas karibu kila nyumba linamiliki bunduki.
 
Wacha kujiaibisha mbele ya dunia, eti toy [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kumbe hujui vile drone zinafanana, ndio maana umekimbia kugoogle combat drone sa unadhani drone zote zinafana hivyo. Punguza ushamba kijana ju nchi yenu haina hata counter drone system. Wewe ni keyboard warrior mshamba sana.

View attachment 2237488
Nimeshakuambia hiyo si drone bali ni toy ya watoto.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
JICA ni partners wazuri sana kwenye mambo ya upanuzi wa bandari na kuchora masterplan na kufadhili ujenzi wa bandari. Wao ndio wafadhili wakuu wa Mombasa port. Mna bahati mmepata hawa wafadhili katika port ya Kigoma. Hizi port zenu za Mwanza na Kigoma zinastahili kupanuliwa kabisa kwa sababu bado ni ndogo sana. Pia mnastahili kujenga meli nyingi kubwa kubwa kwenye ziwa Victoria na Tanganyika. Mimi najua mnajenga meli kubwa moja pekee katika ziwa Victoria.
Mnastahili kujenga meli kama tano kubwa ndani ya ziwa Victoria na nne kubwa ndani ya ziwa Tanganyika. Kisha muwashinikize majirani wenu pia wapanuwe port zao. Hio itafanya biashara yenu na DRC na nchi zingine kudouble au kutriple. Potential mnayo kubwa lakini kwa maoni yangu sioni kama mnainvest ya kutosha kwenye upanuzi wa mabandari na ujenzi wa meli kubwa katika haya maziwa mawili. Japo tangu wakati wa Magufuli angalau mumeanza kuivest kwenye inland ports na meli, nadhani kabla ya Magufuli marais wa awali walikuwa wametelekeza ujenzi wa hizi inland ports. Ni maoni yangu tu.
Sikiliza ulivyo mpumbavu hivi una maana gani bandari za maziwa ni ndogo?

Hivi Kisumu port inafika hata nusu ya bandari mbili za Mwanza north and South? unalinganishaje bandari za maziwa na za Bahari?

Hivi Unajua ukubwa wa meli za maziwa? Nyingi hazizidi 100m! Na Kigoma port ina berth tatu moja mizigo total berths with over 240 m then a dedicated berth for passengers 110m, another berths at Kagunga, with Kibirizi berth dedicated for smaller boats at 100 m!

With Karema port 150 m berth completion, and Kasanga with 120 m berth, Tanzania has 4 major ports in Lake Tanganyika, and just like the way we dominate Lake Victoria, we have no comparison.

As for vessels 2 ships for lake Tanganyika n Victoria r being built aside old being rehabilitated!

Wacha ujuaji!
 
Back
Top Bottom