The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Umeanza lini roho mbaya bwana Tony [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Very ugly building.
Waongo sana hawa mbwa, tena this time jeshi lao ndio limekuja na uongo wa kubandika picha za watu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hvi nyinyi ni lini mutaacha tabia ya kipuuzi ya kusifia vitu vya uongo[emoji23][emoji23] hvi hamuna habari dunia iko 21st century???
View attachment 2237429View attachment 2237430View attachment 2237434
View attachment 2237438
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wabongo, najua hii ni uchungu sana.[emoji37][emoji37][emoji37] ila mtakuja tu kuzoea
mtanunua tu yenu skumoja. mzidi kushikilia imani.. mtakuja kuonekaniwa..
View attachment 2237387View attachment 2237389
Ebu tuonyeshe drone zenu za kijeshi.
Wacha kujiaibisha mbele ya dunia, eti toy 🤣 🤣 🤣 🤣 kumbe hujui vile drone zinafanana, ndio maana umekimbia kugoogle combat drone sa unadhani drone zote zinafana hivyo. Punguza ushamba kijana ju nchi yenu haina hata counter drone system. Wewe ni keyboard warrior mshamba sana.Wewe unajua drone kweli maana unaweka hapa toy ya watoto? Inaweza kweli kubeba missiles hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uwezekano wa kukusanya bilioni 894 itawezekana maana vyanzo vinaongezeka pia, zamani tulikuwa tunakusanya bilioni mia mbili na kitu.Baada ya miaka 6 tu tunaenda bilion 800 karibia 1tln. Magu aliwaamsha watu wengi sana usingizini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],hii kali aisee, dah!Utaondoka kweli mkuu maana Teagas huwa anaandika kwanza halafu ndio anafikiria baadae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Uwezekano wa kukusanya bilioni 894 itawezekana maana vyanzo vinaongezeka pia, zamani tulikuwa tunakusanya bilioni mia mbili na kitu.Baada ya miaka 6 tu tunaenda bilion 800 karibia 1tln. Magu aliwaamsha watu wengi sana usingizini
kaka kuna watu walifanya tathmini TPA ports zinaweza zikatoa zaidi ya 5 trillion a year just from port service .....TPA wanakusanya 900billion tsh currentlyUwezekano hupo na hata zaidi ya iyo trilioni moja acha tungoje miradi yetu ya bandari ikimalike kwanza tutaelewana tuu