Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kanairo jiji la creatives.

Image
 
Wewe unajua $124bn kweli au unaiona kwenye makaratasi tuu? $124bn njaa nchi nzima, water supply mtihani, living conditions worse Hapa nataka kuwa specific namaanisha slums, hela ya miradi hakuna bila kukopa ama PPP kweli utasema una uchumi mkubwa hapa au ni uchumi unaotembea na vipande vya mavi matakoni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ila nimegundua ninyi wa watanyika wote humu, mnapenda sana kuji console, na kuona ni kama nchi yenu ni bora kushinda kenya karibu kwa kila kitu... ila ukweli kwa ground ni hivi kwamba kenya ndo nchi bora kati ya hizi nchi mbili. hali ya maisha generally tuko mbele ata utafiti ukifanyawa saahivi na watalamu wawili tofauti.


nb:
Sabbaticle alikiri kwamba kenya iko kwenye ligi ya kimataifa compared to dar, whereby, whatever iko Newyork, yote inapatikana nairobi.

pia Babalevo kasema, "Kimara" yetu nikama Posta yenu

SSH mwenyewe alikiri kwamba nairobi haijapoteza nafasi yake yakuwa HalfLondon hapa EA, jinsi ilivyo kadiriwa tangia enzi za Mw. Nyerere


ila mzidi tu kuji console ilimradi maisha izidi kusonga mbele, msije mkafa na pressure watoto wachanga nyie
 
Si mnayafanyia desalination mzee

Ebu pata uhondo Kwanzaa wa seronera👇


Dah Yaani midege inatua kama ugomvi 😅😅😅

Hawa ndio large spender tourists tunaowataka Tanzania sio wale backpackers wa kenya

Mtalii mpaka afike mbugani katumia airports 3 kote huko kaacha pesa na revenues, Kenya wakishuka JKIA anakamata boda tayari yupo mbugani 😅😅😅
 
Wewe unajua $124bn kweli au unaiona kwenye makaratasi tuu? $124bn njaa nchi nzima, water supply mtihani, living conditions worse Hapa nataka kuwa specific namaanisha slums, hela ya miradi hakuna bila kukopa ama PPP kweli utasema una uchumi mkubwa hapa au ni uchumi unaotembea na vipande vya mavi matakoni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huu uchungu wote ni wa nini? Unaongea kwa uchungu eti kwa sababu gdp ya Kenya ni kubwa kushinda yenu? Pole kwa uchungu.
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.

We Tanzanians work smarter while Kenyans work harder
 
Jifunze kwanza roofings za Tanzania most preferable, sababu ni tofauti na zenu kabisa, paa zenu ni fupi na flat tofauti na za Tanzania zinazoenda hewani sana, ukileta hizo designs Tanzania hutopata mteja

Kingine roofings zenu zipo simple and plain tofauti na Tanzania zipo more complex

Dom




kwani mkuu, umesahau hii nyumba niliyo ipost humu, hapo awali.. infact nilipata 12likes👍🏽 from wabongo humu, na hivi kwamba hii nyumba iko 'levels'....

nb: i adopted a 37.5° Roof Pitch

Screenshot_20220522-142554_Drive.jpg
Screenshot_20220522-143513_Drive.jpg
Screenshot_20220522-142412_Drive.jpg
 
Hahaha 🤣 🤣 Unachekesha sana. Eti mnatumia maji ya chupa kuogea?
Ni kweli kabisa, mimi pia nlishatumia maji ya chupa kuogea. Ntajaribu beer ya Heineken.

Check hii short clip ikielezea kwa nini mnafanya kazi kwa bidii.

 
Yeah hapo tutaanza kukuelewa

Ipo tofauti na nyumba zenu majority ambazo zipo na almost flat roof

View attachment 2234295

View attachment 2234296

View attachment 2234297
but this Roof is within the BS Standards requirements of a 22.5° Roof Pitch. and thts wht we adopt in all government builds eg. schools, hospitals, markets etc. And thts why the same Roof Pitch is applied for private development in kenya. we are following the British Standards.. and for which case Tanzania also use BS in all engineering classes, be it electrical, mechanical or civil engineering.

nb:
US Standards use Imperial System (eg. Miles, Yards, Pounds, Gallons, Inches, Feet, Ounce, Acres.. etc)

whereas British Standards use Metric System (eg. Metres, Kilometres, Kilograms, Litres, Hectors, etc etc)

nb: US Standards is more complex, thts why we don't use quite often, may be Acres, Feet and Inches only. And again bearing in mind tht we are following the Standards of our colonial masters..🤔
 
Nairobi suburbs at Night. Dar hakunanga picha za suburbs usiku ju kumejaa giza kama hapo kwa national park on the left. 🤣 🤣 🤣

Image
 
Back
Top Bottom