Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza, unajua kwamba mizigo zinazopitia bandari ya Mombasa sio za Kenya pekee? Kuna mizigo za Uganda, South Sudan, DR Congo na kadhalika. Pili, unajua kwamba mizigo zinazopitia Mombasa port sio imports pekee bali kuna hata exports? Tatu, unajua kuna hata mizigo za transhipments zinazopitia Mombasa port?
Nipe idadi ya mizigo ya Kenya na transit

Sababu ilivyo ni kwamba 95% ni destined to Kenya na 80% ni incoming cargo!
 
Asante Sana Mama, Hospitality Industry is back

Sasa Boom ya Conference tourism imerudi Arusha kwa Kasi sana,AICC iko fully booked hadi Disemba 👇

Screenshot_20220521-221503.png

Screenshot_20220521-221524.png

Screenshot_20220521-221616.png

Screenshot_20220521-221652.png

Screenshot_20220521-221635.png

Screenshot_20220521-221750.png

Screenshot_20220521-221723.png

Screenshot_20220521-221820.png

Screenshot_20220521-221846.png
 
Nipe idadi ya mizigo ya Kenya na transit

Sababu ilivyo ni kwamba 95% ni destined to Kenya na 80% ni incoming cargo!
Unaota mzee. Umetoa wapi hio 95%? Tatizo unapenda kuongea bila ushahidi. Mombasa port inahandle 35 million tonnes of goods p.a na takriban 8 million tonnes za hizo mizigo ni za Uganda. Kati ya 1 million to 2 million tonnes ni za nchi zingine isipokuwa Uganda na Kenya. Around 26 million tonnes ndio za Kenya. Na kati ya hizi 26 million tonnes lazima utoe exports za Kenya ndio ubaki na imports za Kenya.
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 38.
Nyinyi siyo kwamba ni wachapa kazi ila ukweli ni kwamba mna maisha magumu sana ndiyo maana mnaonekana kuchapakazi sana kukimbizana na ugumu wa maisha, tz maisha ni mepesi mara 3 ya kenya watu hawana pressure ya kukimbizana kutafuta mlo wa siku na pesa ya rent kama nyinyi watazania tunakunywa maji ya chupa na wengine tunayatumia kuogea na kunawia mikono kabisa tunalala sehemu nzuri kuliko nyinyi ,tunakula vyakula vizuri kuliko nyinyi , wakati mkenya ana nunua chakula kibovu na kibaya kwa bei mara 3 ya chakula kizuri tz , sasa kwanini msikimbizane kibera kibera kutafuta sukuma wiki
 
Brother I don't know anything about engineering or architecture. Lakini soon nitahitaji architect pia kwa mambo yangu ya kibinafsi. For now wacha nitazame tu maoni ya watu wengine. Lakini hio plan inakaa poa from my layman's perspective.
🙏🏽Jah bless.. nakusubiri..
 
Nyinyi siyo kwamba ni wachwpa kazi ila ukweli ni kwamba mna maisha magumu sana ndiyo maana mnaonekana kuchapakazi sana kukimbizana na ugumu wa maisha, tz maisha ni mepesi mara 3 ya kenya watu hawana pressure ya kukimbizana kutafuta mlo wa siku na pesa ya rent kama nyinyi watazania tunakunywa maji ya chupa na wengine tunayatumia kuogea na kunawia mikono kabisa tunalala sehemu nzuri kuliko nyinyi ,tunakula vyakula vizuri kuliko nyinyi , wakati mkenya ana nunua chakula kibovu na kibaya kwa bei mara 3 ya chakula kizuri tz , sasa kwanini msikimbizane kibera kibera kutafuta sukuma wiki
Hahaha 🤣 🤣 Unachekesha sana. Eti mnatumia maji ya chupa kuogea?
 
Nyinyi siyo kwamba ni wachapa kazi ila ukweli ni kwamba mna maisha magumu sana ndiyo maana mnaonekana kuchapakazi sana kukimbizana na ugumu wa maisha, tz maisha ni mepesi mara 3 ya kenya watu hawana pressure ya kukimbizana kutafuta mlo wa siku na pesa ya rent kama nyinyi watazania tunakunywa maji ya chupa na wengine tunayatumia kuogea na kunawia mikono kabisa tunalala sehemu nzuri kuliko nyinyi ,tunakula vyakula vizuri kuliko nyinyi , wakati mkenya ana nunua chakula kibovu na kibaya kwa bei mara 3 ya chakula kizuri tz , sasa kwanini msikimbizane kibera kibera kutafuta sukuma wiki
ndomaana ya $124B vs $77B differece..! ilhali tulipa Independence pamoja
 
Hahaha [emoji1787] [emoji1787] Unachekesha sana. Eti mnatumia maji ya chupa kuogea?
Sasa unabisha nini wakati hadi wageni wa nchi nyingine wamethibitisha kuwa watz wanatumia maji ya chupa kunawia hadi usoni mwenyewe nimeshatumia sana kufulia nguo na kuogea , kama unabisha wapo hadi wakanada tweet wanathibitisha wepesi wa kupatikana maji tz kuliko nchi zao ...ngoja nikutafutie
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.

Tusiende huko kwa sababu wengi wa hawa African Americans wana prefer tz than kenya ata ghana
 
ndomaana ya $124B vs $77B differece..! ilhali tulipa Independence pamoja
Adui wa tz ni marais waislamu, tukipiga hatua tatu mbele wao wakichukua nchi wanaturudisha hatua 5 nyuma hata huyu sa100 si unaona alivyo mpumbavu, licha ya ccm kuwa mbovu ila marais waislamu ndani ya ccm ni wabovu zaidi.wanapenda kusujudia mabeberu , wakati wa kikwete tanzanite yetu ni kielelezo tosha cha upumbavu wa kiuongozi
 
Unaota mzee. Umetoa wapi hio 95%? Tatizo unapenda kuongea bila ushahidi. Mombasa port inahandle 35 million tonnes of goods p.a na takriban 8 million tonnes za hizo mizigo ni za Uganda. Kati ya 1 million to 2 million tonnes ni za nchi zingine isipokuwa Uganda na Kenya. Around 26 million tonnes ndio za Kenya. Na kati ya hizi 26 million tonnes lazima utoe exports za Kenya ndio ubaki na imports za Kenya.
Hii paragraph yote bila attachment ni umbea kama umbea Mwingine wowote
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.

Wewe unaamini kweli Watanzania ni wavivu? 😂🤣

Screenshot_20220515-215338.png
 
Nionyeshe ni wapi nimewahi kushangilia imports na kusema kwamba imports ni nzuri kushinda exports nitoke JF. Usiweke maneno kwenye mdomo wangu. Mimi kukueleza kwamba Kenya ina import bill kubwa haimaanishi kwamba naishangilia imports.
Wacha kujitetea, wakati unaandika Ile post kuhusu Kenya kuwa na import bill kubwa kuliko Tanzania, pia kuongeza kwamba hiyo ilikua ni reports za miaka ya nyuma na kusema ndiyo import bill kubwa hapa Central and East Africa, lengo lilikuwa ni lile lile la kuonyesha nguvu za Kenya kiuchumi, baada ya kugundua ulichoandika ni upuuzi, hivi Sasa unatumia nguvu kubwa kukanusha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
ndomaana ya $124B vs $77B differece..! ilhali tulipa Independence pamoja
Hivi ni mimi sielewi maana ya gross domestic product?

Products zipi mlizonazo kutushinda wakati sisi ndio tumewatawala?

Kwenye GDP mnatuzidi government expenditures tu which mostly ni mikopo lakini kwenye uzalishaji kila kitu kinajieleza!

Screenshot_20220515-215338.png
 
Back
Top Bottom