Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe ni wapi nimewahi kushangilia imports na kusema kwamba imports ni nzuri kushinda exports nitoke JF. Usiweke maneno kwenye mdomo wangu. Mimi kukueleza kwamba Kenya ina import bill kubwa haimaanishi kwamba naishangilia imports.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe huyu? 😆
 
nuclear power plant in kilifi will add 4000Mw by 2027... so.?
Unaongea kama hutumii akili? Hela ya kula tuu taabu unaongelea nuclear unajua gharama yake? Na pia maintenance na disposal yake? Wataalamu tuu wa nuclear hamna. Acha kujidanganya jengeni uchumi madhubuti kwanza hivi vitu vya kufurahisha macho na masikio vitakuja vyenyewe bila kuweka nguvu nyingi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
please please kama bado uko na salio, tafadhali tembelea google sahivi upate habari kamili
 
All these are under completions this year and all coming with malls

images - 2022-05-22T073509.979.jpeg

images - 2022-05-22T073402.994.jpeg
 
matters engineering..

what's your take on this architectural design am still drawing for my own self to build it at home county. how is the Space arrangement. any correction is more than welkom
View attachment 2233657

i'll adopt this Flat Roof Design, i got it last week from here at JF. it was from some stadium in tz[emoji1427]View attachment 2233658

*pia leteni hio kandarasi, hapa JF pia nikusaidiana. sio tu eti ni mastory kilasiku..
Kwa hiyo lounge toa hiyo passage on the left inakula space ya bure. Loudge, dining na kitchen should be somehow interconnected sababu zinatumika for the same purpose. So you can introduce short walls or large openings between kitchen loudge and dining . Last, hiyo master bedroom mlango ingekua directly aligned with the corridor wall to create more space to access the master porch. Ni maoni yangu tu lakini.
 
Noted.!🙏🏽 let me do then correction the bring it forth, we discuss

nb: but in the architectural class, i still remember the lecturer said, "the more the Transitional Spaces, ie. corridors, the more the house is even more prestigious"
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe huyu? 😆
Rafiki tofautisha kati ya mtu kukupatia information na mtu kusifia jambo. Hayo ni mambo mawili tofauti. Mimi kukueleza kwamba Kenya ina import bidhaa kwa wingi haimaanishi kwamba nasifia imports. Yaani nakupatia tu information lakini sio kwamba nasifia imports. Hakuna siku nimewahi kusema kwamba imports ni nzuri kushinda import substitution au exports. Siku zote import substitution na exports ni better kushinda imports. Wewe unajua import substitution ni nini? Nimekufunza neno jipya leo, sasa nenda kagoogle maana ya neno "import substitution" kisha uje tudiscuss. Nakungojea.
 
matters engineering..

what's your take on this architectural design am still drawing for my own self to build it at home county. how is the Space arrangement. any correction is more than welkom
View attachment 2233657

i'll adopt this Flat Roof Design, i got it last week from here at JF. it was from some stadium in tz👇🏽View attachment 2233658

*pia leteni hio kandarasi, hapa JF pia nikusaidiana. sio tu eti ni mastory kilasiku..
Brother I don't know anything about engineering or architecture. Lakini soon nitahitaji architect pia kwa mambo yangu ya kibinafsi. For now wacha nitazame tu maoni ya watu wengine. Lakini hio plan inakaa poa from my layman's perspective.
 
Nairobi is the only African city among the world's top 45 cities that posted growth in 2021.
Nairobi ranked 32nd in the world, recording a 3.5% growth rate from the first quarter of 2021 to the first quarter of 2022
Source: Prime Global Cities Index by Knight Frank.
FB_IMG_16531958720988926.jpeg
 
ila hii ni mapambo na make-up ya ukuta tu, bado nina uhuru wa kufanya correction, ndo maana nimewauliza hapo mwanzoni, "any correction is more than welcom" .. op tunaelewana

nb: and please note, si design nyumba ya ghorofa, ndomaana nataka tu adopt hio more simplified flat roof nimewaonesha. otherws mi naweza fanyanya design yoyote duniani....
Jifunze kwanza roofings za Tanzania most preferable, sababu ni tofauti na zenu kabisa, paa zenu ni fupi na flat tofauti na za Tanzania zinazoenda hewani sana, ukileta hizo designs Tanzania hutopata mteja

Kingine roofings zenu zipo simple and plain tofauti na Tanzania zipo more complex

Dom

ila hii ni mapambo na make-up ya ukuta tu, bado nina uhuru wa kufanya correction, ndo maana nimewauliza hapo mwanzoni, "any correction is more than welcom" .. op tunaelewana

nb: and please note, si design nyumba ya ghorofa, ndomaana nataka tu adopt hio more simplified flat roof nimewaonesha. otherws mi naweza fanyanya design yoyote duniani....
Design kama iyo ili huwatoe ushamba wakenya wenzako maana uko madirisha ni anasa, alafu sijui kwann hampendi kupaka rangi nyumba
 
Rafiki tofautisha kati ya mtu kukupatia information na mtu kusifia jambo. Hayo ni mambo mawili tofauti. Mimi kukueleza kwamba Kenya ina import bidhaa kwa wingi haimaanishi kwamba nasifia imports. Yaani nakupatia tu information lakini sio kwamba nasifia imports. Hakuna siku nimewahi kusema kwamba imports ni nzuri kushinda import substitution au exports. Siku zote import substitution na exports ni better kushinda imports. Wewe unajua import substitution ni nini? Nimekufunza neno jipya leo, sasa nenda kagoogle maana ya neno "import substitution" kisha uje tudiscuss. Nakungojea.
Sio wewe unaesifia bandari yenu kila siku kwamba imeipita Dar kwa mzigo mara 4?
 
Hii ni mall au ni kichinjio? Hawa kwenye malls hata wenyewe huwa wanakubali kwamba wapo nyuma sana. Wanasema kwamba hawana malls kwa sababu wana masoko. Hata Nigeria na Ghana huwa wanajitetea eti hawana malls kwa sababu wana masoko za kutosha.
Suala la mall ni utamuduni wa nchi na nchi wabongo wengi hawapendelei kuenda mall kwasababu vitu vipo overpriced na kingine masoko na maduka yapo very accessible kushinda malls na supermarkets
 
Nyinyi mna ukora kubali tu 😅😅
Mimi nimeongelea elimu pekee wacha kuleta mambo ya afya ... Fanya hesabu ya elimu kando.
Ona tu uongo wenu, mwenzako ananiambia elimu pekee ni 1.45 tn + 8.7 tn 😅
Kilichonichekesha ni kwamba hata ukiyaongeza yote bado haifikii bajeti ya ELIMU PEKEE (primary school to university & colleges) ya kenya.
View attachment 2233621View attachment 2233623
Akili huna,nimekupa modality ya usimamizi wa Elimu Tanzania huelewi..

Hiyo wizara inasimamiwa Elimu na Afya kama nilivyokueleza kwa ngazi tofauti ukiacha zile parent ministries..

Nikakupa na Hotuba yote usome bado umejaza mavi kichwani basi Baki hivyo hivyo usije kuni drag huku 👇

Screenshot_20220222-100231.jpg
 
Sio wewe unaesifia bandari yenu kila siku kwamba imeipita Dar kwa mzigo mara 4?
Kwanza, unajua kwamba mizigo zinazopitia bandari ya Mombasa sio za Kenya pekee? Kuna mizigo za Uganda, South Sudan, DR Congo na kadhalika. Pili, unajua kwamba mizigo zinazopitia Mombasa port sio imports pekee bali kuna hata exports? Tatu, unajua kuna hata mizigo za transhipments zinazopitia Mombasa port?
 
Jana nimeweka humu studycase ya kwanini Kenya bidhaa ni bei ghali kuliko Tanzania tena kwenye aina ya raw material inayoweza kuzalishwa kwenye semi desert environment ambayo ndio majority in Kenya

Tony254 huwa anashangilia sana Mombasa inavyoingiza mizigo kwa wingi bila kujua adhari zake kiuchumi, ajira na pesa nyingi mnapoteza kwa kuingiza bidhaa mnazoweza kuzalisha wenyewe halafu anasema amesomea uchumi 🙄

Dodoma inazalisha majority of Tanzania's brewery raw materials pamoja na kuwa na hali ya hewa kama ya Kenya lakini Kenya hata kuzalisha tu chakula haiwezi halafu unakuja kubwabwaja hapa!

Na nimesikia kwamba TBL na mabenki kadhaa wameingia makubaliano juzi kuongeza contract farming na wakulima kwa maelfu ya mahekari..

Hiki ndio kilimo chenye tija sasa
 
Back
Top Bottom