Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.

Na huyu mbongo anaishi Ughaibuni karudi bongo na anasema ataitangaza Tanzania zaidi👇

Screenshot_20220522-082236.png
 
Nimeingia twitter sehemu ya Trending nikakuta Tanzanians iko trending.
Nafahamu huwa unaumia sana ukiona Tanzania imeandikwa vizuri wewe mshamba unayevaa kama mzee.
Endelea kufuatana na wanaume wenzako. At least wanaezakuteremshia suruali uwafanye.
 
Adui wa tz ni marais waislamu, tukipiga hatua tatu mbele wao wakichukua nchi wanaturudisha hatua 5 nyuma hata huyu sa100 si unaona alivyo mpumbavu, licha ya ccm kuwa mbovu ila marais waislamu ndani ya ccm ni wabovu zaidi.wanapenda kusujudia mabeberu , wakati wa kikwete tanzanite yetu ni kielelezo tosha cha upumbavu wa kiuongozi
Bro mimi sio muislamu ..na najua unahaki ya kutoa maoni yako..lakini i think Dini isihusike ..Personality ya mtu haihusiani na Dini
 
Ukame hata sio tatizo ikiwa ardhi yenyewe ina rutuba na kuna mto hapo karibu ambayo mnaweza kutumia maji hayo kufanyia irrigation. Usilinganishe hii situation ya Dodoma na ile ya Northern Kenya kwa maana huko hakuna mto.
Kuna ziwa turkana, mto tana na mito mingine kibao kama omo
 
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.

Nyimbo za uvivu wa Watanzania zimerudi wakati mnalishwa na output ya nearly 65% of Tanzanian workforce! Angalia kundu lako na kujiuliza nyie wachapakazi mbona mna 10 mln people on hunger?




Even the rich fertile central is having hunger! 👇 👇
The Mount Kenya region is one of the richest agricultural zones in the country and plays a critical role in securing Kenya's food basket. However, inadequate rains and prolonged dry season has seen the residents stare at hunger and a possible acute starvation if the conditions do not improve.


MY TAKE
Even if Kenya is to have fertile soils like Uganda, hunger will no go away!!
 
Back
Top Bottom