Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This whole text could really give me an easy time ungetype kwa kiingereza,

lakini, nilishaelewa hata kabla ya haya yote kiasi kwamba budget ya elimu haipo kwa jumla, hata ivo kwa urahisi ungefanya jumla ya pesa taslimu zinazoelekea directly kwa elimu uyaseme.

Natumai wizara ya elimu afya wanaspecify kwamba pesa fulani inaenda kwa elimu,

Unless unaexpect niamini upuuzi huu mwenzako anatuambia pia pesa za ofisi ya rais pia ni za elimu

View attachment 2233602View attachment 2233603
Tamisemi ipo chini ya ofisi ya Raisi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
matters engineering..

what's your take on this architectural design am still drawing for my own self to build it at home county. how is the Space arrangement. any correction is more than welkom
View attachment 2233657

i'll adopt this Flat Roof Design, i got it last week from here at JF. it was from some stadium in tz👇🏽View attachment 2233658

*pia leteni hio kandarasi, hapa JF pia nikusaidiana. sio tu eti ni mastory kilasiku..
Wewe ni intern kwenye hizi levels kwa Tanzania, bado sana!
 
ata nimeshindwa la kusema maana unanishangaza sana. hivi kenya's national electricity installed capacity currently stands at 2,850Mw whereas Tz is only 1,500Mw..
again kenya at the moment is rated as having among the best road infrastructure in the continent of africa.
an example is this ongoing kisumu-kakamega dual carriage construction [emoji1427]View attachment 2233669 hivi kenya na tz kwa swala ya barabara na stima ni wapi na wapi !? ni kama mbingu na arthi
Hii story ya Umeme after sometime mtakaa chini ..we endelea kubaki na 1500 ..sa hizi tunavyoongea
Kinyerezi 1 extension 185mw inajengwa
Malagarasi 50 MW

Ubungo III na alot of gas plants will take us 2500MW ..

Sijaugusa JNHPP anbayo unajua in Next 2 years itakuwa online ..

So this race is almost over in 2 years we will add 2100MW to the grid ..from JNHPP alone 80% of what you produce
 
an example is this ongoing kisumu-kakamega dual carriage construction 👇🏽View attachment 2233669 hivi kenya na tz kwa swala ya barabara na stima ni wapi na wapi !? ni kama mbingu na arthi

images (15).jpeg

images (17).jpeg
 
matters engineering..

what's your take on this architectural design am still drawing for my own self to build it at home county. how is the Space arrangement. any correction is more than welkom
View attachment 2233657

i'll adopt this Flat Roof Design, i got it last week from here at JF. it was from some stadium in tz[emoji1427]View attachment 2233658

*pia leteni hio kandarasi, hapa JF pia nikusaidiana. sio tu eti ni mastory kilasiku..
Kiongozi hivi vitu ni more than a dream to them. Dream yao ni kurent bed-sitters na kuvaa suti hawana kingine wanachofikiria

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii story ya Umeme after sometime mtakaa chini ..we endelea kubaki na 1500 ..sa hizi tunavyoongea
Kinyerezi 1 extension 185mw inajengwa
Malagarasi 50 MW

Ubungo III na alot of gas plants will take us 2500MW ..

Sijaugusa JNHPP anbayo unajua in Next 2 years itakuwa online ..

So this race is almost over in 2 years we will add 2100MW to the grid ..from JNHPP alone 80% of what you produce
nuclear power plant in kilifi will add 4000Mw by 2027... so.?
 
ata nimeshindwa la kusema maana unanishangaza sana. hivi kenya's national electricity installed capacity currently stands at 2,850Mw whereas Tz is only 1,500Mw..
again kenya at the moment is rated as having among the best road infrastructure in the continent of africa.
an example is this ongoing kisumu-kakamega dual carriage construction [emoji1427]View attachment 2233669 hivi kenya na tz kwa swala ya barabara na stima ni wapi na wapi !? ni kama mbingu na arthi
Weka country map ya stima Kenya and conpare with Tanzania

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jana nimeweka humu studycase ya kwanini Kenya bidhaa ni bei ghali kuliko Tanzania tena kwenye aina ya raw material inayoweza kuzalishwa kwenye semi desert environment ambayo ndio majority in Kenya

Tony254 huwa anashangilia sana Mombasa inavyoingiza mizigo kwa wingi bila kujua adhari zake kiuchumi, ajira na pesa nyingi mnapoteza kwa kuingiza bidhaa mnazoweza kuzalisha wenyewe halafu anasema amesomea uchumi 🙄

Dodoma inazalisha majority of Tanzania's brewery raw materials pamoja na kuwa na hali ya hewa kama ya Kenya lakini Kenya hata kuzalisha tu chakula haiwezi halafu unakuja kubwabwaja hapa!

Nionyeshe ni wapi nimewahi kushangilia imports na kusema kwamba imports ni nzuri kushinda exports nitoke JF. Usiweke maneno kwenye mdomo wangu. Mimi kukueleza kwamba Kenya ina import bill kubwa haimaanishi kwamba naishangilia imports.
 
Sikwambii kwa kukuonea wivu

Huku ndio wenzako waliopo saivi

ila hii ni mapambo na make-up ya ukuta tu, bado nina uhuru wa kufanya correction, ndo maana nimewauliza hapo mwanzoni, "any correction is more than welcom" .. op tunaelewana

nb: and please note, si design nyumba ya ghorofa, ndomaana nataka tu adopt hio more simplified flat roof nimewaonesha. otherws mi naweza fanyanya design yoyote duniani....
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Teargas and Tony254, mkowapi.!?. heb njooni muone hii.. 😃😃😃

eti TheCityMall is the best mall in the entire Dar-Es-Saalam, as u knw it.. 👇🏽

View attachment 2233583View attachment 2233585View attachment 2233584
Hii ni mall au ni kichinjio? Hawa kwenye malls hata wenyewe huwa wanakubali kwamba wapo nyuma sana. Wanasema kwamba hawana malls kwa sababu wana masoko. Hata Nigeria na Ghana huwa wanajitetea eti hawana malls kwa sababu wana masoko za kutosha.
 
Back
Top Bottom