Empty as usual.
CBD ina mapengo [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa nacheka nikiona wanajilinganisha na Tz kwenye mtandao wa barabara za lami, cjui wanatoa wapi ujasiri huo wallahi.
Ngumbalu kapagawa, Tz ni the most urbanized country in the region hilo likae kichwani.Danganya toto jinga, that blue signage huko mbele haiwezi patikana anywhere in that Tabora village.
JPM ameingiaje hapa 🤣🤣Jpm alikua anhakikisha kila barabara ina taa iwe mjini au vijijin daah
Project nyingine kubwa of this magnitude ni baada ya 10 years while us we implement multiple large scale projects concurrently. Na hiyo ndio tofauti ya chumi zetu hizi.Daily dosage.
View attachment 2230206
View attachment 2230207
View attachment 2230208
View attachment 2230209
View attachment 2230210
View attachment 2230211
View attachment 2230212
View attachment 2230213
View attachment 2230214
View attachment 2230215
View attachment 2230216
View attachment 2230217
View attachment 2230218
View attachment 2230219
View attachment 2230220
View attachment 2230221
View attachment 2230222
View attachment 2230223
View attachment 2230224
View attachment 2230225
Tembea uone kijana acha kujificha hapo kibera tuu.Danganya toto jinga, that blue signage huko mbele haiwezi patikana anywhere in that Tabora village.
Na tayari aliifanya ni basic requirement kwenye mkataba wa kujenga barabara maeneo yote yenye makazi ya watu, kwenye madaraja na mizani lazima taa ziwekwe kwa mujibu wa tanroadsJpm alikua anhakikisha kila barabara ina taa iwe mjini au vijijin daah
Hebu taja hizo miradi mikubwa mnazotekeleza one by oneProject nyingine kubwa of this magnitude ni baada ya 10 years while us we implement multiple large scale projects concurrently. Na hiyo ndio tofauti ya chumi zetu hizi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hali ni hiyo hiyo kwa ground mkoani Tabora
Hakuna picha ya cbd hapo bongolala. picha zote zimepigwa UpperhillCBD ina mapengo [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafadhali #Tuusan...naomba uangalie uniambie hawa jamaa wanakitu gani hasa cha hata kuitikisa Dar, mana kuna kipindi uliwamini mnooo, cha kunifraisha huu mji ndio uko na GDP kubwaa kuliko DISSIM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]my ribsHii ndio Accra tuliambiwa ipo mbele ya Dar by miles [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu taja hizo miradi mikubwa mnazotekeleza one by one
So leo upperhill hamuiiti CBD [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna picha ya cbd hapo bongolala. picha zote zimepigwa Upperhill
Bima ya Afya kwa wote,Kazi inaendelea 👇Kenya has 14,800 na bado tunaendelea kujenga.