dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Hii issue ya vyuo mkaweka hadi college za mitaani ilifungwa kitamboata nisichoke kuviandika.. zote hizi hapa[emoji1427][emoji1427]
View attachment 2227807
nb: bongo hakuna private universities, zote ni ya serikali 'yetu tukufu'
kaa zipi.?Hii issue ya vyuo mkaweka hadi college za mitaani ilifungwa kitambo
Maendeleo yote GDP ya Danganyika + Uganda bado hawaoni Kenyanew findings reveal kenya's real nominal gdp 2022, to be about $124B [emoji1427]
wabongo waridhike tu na $77B, ata ivo sio mbaya saana..
View attachment 2227905
Tanganyika real nominal gdp 2022[emoji1427] $77B
View attachment 2227906
🤣🤣🤣🤣 it reminds me of NATO vs Russia
Wakati unasubiri anunue km hili inaonekana majeshi kaya hamishia kwenye ndege binafsi according to yeye ni this yearTutajua uwezo wake siku atanunua kama hilo lingine. Usikute alichangaa kuanzia 2011.. Na unajua bei ya helicopter moja??
Helicopter zinanzia 1m usd kwazile nzuri na zakisasa mpa 15+ml, lakizi used mpka chini ya m1 unapataTutajua uwezo wake siku atanunua kama hilo lingine. Usikute alichangaa kuanzia 2011.. Na unajua bei ya helicopter moja??
Leta tarifa ya IMF au WB, wachana na wikpedianew findings reveal kenya's real nominal gdp 2022, to be about $124B [emoji1427]
wabongo waridhike tu na $77B, ata ivo sio mbaya saana..
View attachment 2227905
Tanganyika real nominal gdp 2022[emoji1427] $77B
View attachment 2227906
1000km SGR Mtwara Mbamba bay Liganga Mchuchuma kwenye Iron ore and coal na bado ya Tanga Moshi Arusha Mara nayo iko kwenye pipeline pia
Tembea Kunyaland nzima huwezi pata daraja kama hili!
Na oscar kwenye category ya supporting role.Kuna mahali hapo juu nilisema sisi huwa hatuna tabia ya kuthaminisha vizuri mali zetu. Angalia GDP yetu, inaonekana ndogo lakini tunajenga Bwawa, SGR phase I, barabara na miradi mingine kwa fedha zetu.
Ukijumlisha tuu thamani magari ya Diamond (japo ni liabilty) yanafika zaidi ya $1 mil. Kampuni zake, royalties za kazi zake, brand yake, nyumba n.k jamaa anaweza kuwa na hata $100mil.
Lupita kwenye hizo filamu zake hana royalties, yeye ni mwajiriwa tuu anayelipwa mara moja kwa filamu.
Akilegea wenzie si watampitia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na alegee huko aliko [emoji23]
Bado tutawalisha sana mpaka mwisho wa Dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi ni zile Stori Sukuma gang huwa hawapendi kuzisikia..Mama kama Mama Samia.
Katoa bajeti ya Irrigation kutoka bil.46 hadi zaidi ya bil.360..,hakuna kutegemea utabiri wa kakakuona tena kwenye kilimo..
Ukisikia mapinduzi ya kilimo hiyo ndio maana yake.
[emoji116]
View attachment 2228011
View attachment 2228012
View attachment 2228013
Kuna same design and technology..but different length and height..Tembea Kunyaland nzima huwezi pata daraja kama hili!
Huyo karudi tena na picha zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lang'ata
View attachment 2227762View attachment 2227763View attachment 2227765View attachment 2227766View attachment 2227768View attachment 2227769View attachment 2227771View attachment 2227773View attachment 2227774View attachment 2227775View attachment 2227776View attachment 2227777View attachment 2227779View attachment 2227783View attachment 2227784View attachment 2227785
Getting an organized residential area like this one in Dar ni kama kutafuta nyama ya nguruwe Saudia
Hawa ni raia wa Mexico, nani kakudanganyaDuuhh aiseee hizi sura zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So Mnafunga bridge ili mtazame mpira? 🤔...Kitu kikiwa chenu bhana mnafanya mnavyotaka, sasa hawa jamaa zetu warongwe wajaribu hili kwenye Chinese Expressway uone mwenye barabara atakavyowatimua…..[emoji28][emoji28]View attachment 2227915
View attachment 2227916
View attachment 2227917
View attachment 2227918
#ChampionsLeagueFinalWithaStyle.
#RoyalTour
#TheMightyTanzaniteBridge
Hahahaha, wakenya mnapigana vikumbo kumpa Diamond views nyingi YouTube kuliko nchi yoyote hapa duniani, kwahiyo wakenya wanaongoza duniani kwa kutokustaharabikaChokoraa wa street ndio watamkimbilia Mondi. Wale wavuta bandi na glue na watoto wa shule ya upili ndio watamkibilia Mondi. Watu tuliostaarabika tunamkimbilia Lupita.
Cc xng hua