Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Community Area Nairobi

Screenshot_20220515-161840.png

Kilimani, Nairobi
Screenshot_20220515-161810.png
Screenshot_20220515-161755.png

Westlands NBO
download (5).jpeg
 
🤣🤣🤣🤣 Wana hesabu kali aisee mpaka huruma

Thinking about eating frozen ugali 🥶🥶🥶

Haingii akilini kabisa, hata kula ugali uliolala kwenye nyumba nyingi za kitanzania hilo halipo kabisa, ugali ukibaki lazima utupwe na sababu nyumba nyingi za kitanzania zina mifugo mara nyingi hupewa mbwa au kuku

Wakunya wanapiga hesabu kali hapo kinoma 😂😂😂😂

We take things for granted a lot!

Mbaya ni kwamba, wanajirecord as though wanaongea na Wakenya wenzao , wasijue wanatushangaza.

Familia gani Tanzania inaweka ugali kwenye friji?? aisee, mi sijawahi kuona wala kusikia.

Jamaa wana hali mbaya sana!

The fool pictured was a hero for saving that huge and dirty Ugali!🙄🙄
ugali.jpg
 
Kisumu Africities Indaba 2022.
Theme: 'Role of Intermediary Cities in Africa'

loading ⏳⌛...............................

Screenshot_20220516-025146_Chrome.jpg
20220129_155154.jpg

Mkuu umenichekesha sana ,dah! Ugali kabisa kwenye fridge
Njaa mbaya mno, uki jumlisha na kutokua na uhakika wa chakula ndio zima waweke chochote kilichobaki mahala salama.

Sema wakizoea Tanzania, wataacha Tabia za kijima za Kikenya za kula uchafu na kuzoea kushiba na kuzoea kuwa chakula sio big deal - yaani, ukila ukishiba unawapa mbwa.
 
Huyu mbwa kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia ameondolewa. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na Kenya kwenye kesi ya ICJ. Alidhani ataongoza milele.
 
Kweli bwana ugali uliolala huwa ni chakula cha kuku maana haufai tena kwa matumizi ya binadamu, ila watu wana maisha magumu sana wanakuja humu kujibaraguza.
hivi, ungekua unaishi kenya kamavile Shebby01 ndo ungeelewa kua chakula kenya sio issue hata kidogo. ni kingi saana...

haya munayo angazia hapa kila kukicha, ni ile hali tu ya kutafutia kenya makosa, ili tu mradi........
 
Kweli bwana ugali uliolala huwa ni chakula cha kuku maana haufai tena kwa matumizi ya binadamu, ila watu wana maisha magumu sana wanakuja humu kujibaraguza.
Wakunya ni mafukara kutoka utosini mpaka unyayo ndio maana mara nyingi wana hasira kali

Ukifika Nairobi kila mtu usoni ni kama anataka kumla mtu muda wowote, ni vigumu sana kumuona mkunya anatabasam, muda wote kakaza fuvu sababu ya kufikiria next meal and next shelter sababu ni vitu hawana uhakika navyo kabisa

Tofauti na Watanzania huwa tunafikiria sana vitu luxury sababu kwenye basic needs tumeshatoka huko.
 
Huyu mbwa kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia ameondolewa. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na Kenya kwenye kesi ya ICJ. Alidhani ataongoza milele.

Alifanya hivyo kwa maslahi ya nchi yake,hata ingekua ni wewe ungefanya hivyo
 
Mbaya ni kwamba, wanajirecord as though wanaongea na Wakenya wenzao , wasijue wanatushangaza.

Familia gani Tanzania inaweka ugali kwenye friji?? aisee, mi sijawahi kuona wala kusikia.

Jamaa wana hali mbaya sana!

The fool pictured was a hero for saving that huge and dirty Ugali!🙄🙄View attachment 2226353
😂😂😂😂😂

Nairobi kuna njaa kali kuliko hata Turkana na Mombasa

hivi, ungekua unaishi kenya kamavile Shebby01 ndo ungeelewa kua chakula kenya sio issue hata kidogo. ni kingi saana...

haya munayo angazia hapa kila kukicha, ni ile hali tu ya kutafutia kenya makosa, ili tu mradi........
90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?

Kunyans kila siku wanasema wao ndio wanafanya wasanii wa Tanzania wafanikiwe

Huku ni West Africa ivory coast French speaking country lakini mtanzania anafanya maajabu na anatangaza Tanzania yetu, mkunya hafiki hizi levels hata tukimpa miaka 5000

iwe expressway ama kitu gani,the bottom line Nai is way beyond your league.kama huamini uliza baba levo.😂
ungejua baba level huku Dar ni tunamwona kama mwendawazimu, hivi role model akiwa mwendawazimu, wewe utakuwa ni nani?
 
Dar is full of informal settlements slums lakini hampendi kuambiwa ukweli, but data doesn't lie. 🤣🤣🤣 Ukweli wa data analysis ndio tunatumia hapa.

Ona tu hii area yote in brown ni slums tupu, informal housing.

Informal-Settlements-in-Dar-es-Salaam-and-location-of-Hanna-Nassif.png

Nairobi

20: Informal settlements, Nairobi City County | Download Scientific Diagram
Informal settlementss? What do you mean?
 
Back
Top Bottom