Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You were talking about Karen idiot, hio video umeleta ni ya Karen? Karen sio level ya mtu, most importantly the entire tz. Izo vitu unatuonyesha sio mapya
Karen kuna vumbi na picha zimewekwa humu unataka ushahidi gn ss.
 
But Kenyans control the economy of Tanzania. Tanzanian transport sector is in the hands of Kenyans cause your buses and lories are assembled in Kenya.
Umekalilishwa toka enzi za kuchonga mabodi siku hizi mabasi yanakuja in full body.Marcopolo,Youtong nk..
 
Mbaya ni kwamba, wanajirecord as though wanaongea na Wakenya wenzao , wasijue wanatushangaza.

Familia gani Tanzania inaweka ugali kwenye friji?? aisee, mi sijawahi kuona wala kusikia.

Jamaa wana hali mbaya sana!

The fool pictured was a hero for saving that huge and dirty Ugali!View attachment 2226353
Kwa Kenya chakula ni the biggest issue.
 
White elephant republic 🐘😂

Screenshot_20220509-062715.png


Screenshot_20220509-062209.png


images - 2022-05-09T062420.893.jpeg
 
Wakunya ni mafukara kutoka utosini mpaka unyayo ndio maana mara nyingi wana hasira kali

Ukifika Nairobi kila mtu usoni ni kama anataka kumla mtu muda wowote, ni vigumu sana kumuona mkunya anatabasam, muda wote kakaza fuvu sababu ya kufikiria next meal and next shelter sababu ni vitu hawana uhakika navyo kabisa

Tofauti na Watanzania huwa tunafikiria sana vitu luxury sababu kwenye basic needs tumeshatoka huko.
Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri kwamba Tanzania ni tajiri kushinda Kenya. Nyinyi japo mna rasilimali nyingi kutushinda bado ni masikini kutushinda.
 
Huyo mnuka mavi ni cartoon huyo huwa anaropoka tu ili kujifurahisha, huoni hata wakunya wenzie hawampi attention? Umempiga punches za hatari lkn bado anaendeleza u cartoon mbwa huyo

Hawa kondoo ili washinde battle humu inawabidi wapotoshe na kudanganya ndio maana hutowaona wakikosoana.
Nishawaambia watadanganyana wenyewe kwa wenyewe tu ila sio kudanganya Watanzania.
 
Tanzania kwa nini Kiingereza huwa kimewakataa namna hii? Eti mtu kaandika 2st badala ya 2nd 😁😅😂
 
Mbaya ni kwamba, wanajirecord as though wanaongea na Wakenya wenzao , wasijue wanatushangaza.

Familia gani Tanzania inaweka ugali kwenye friji?? aisee, mi sijawahi kuona wala kusikia.

Jamaa wana hali mbaya sana!

The fool pictured was a hero for saving that huge and dirty Ugali!View attachment 2226353
Hizo kucha za huyo mtu aliyebeba ugali mmeziona? Aisee watu ni wachafu hawa
 
Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri kwamba Tanzania ni tajiri kushinda Kenya. Nyinyi japo mna rasilimali nyingi kutushinda bado ni masikini kutushinda.
Tunakuaje masikini kuwashinda wakati mnategemea Tanzania kuliko nchi yoyote Africa?

Unaweza kumtegemea mtu dhoofu kukuhudumia mahitaji yako kwa asilimia kubwa hata kama unalipia?
Screenshot_20220515-215338.png
 
Njaa mbaya mno, uki jumlisha na kutokua na uhakika wa chakula ndio zima waweke chochote kilichobaki mahala salama.

Sema wakizoea Tanzania, wataacha Tabia za kijima za Kikenya za kula uchafu na kuzoea kushiba na kuzoea kuwa chakula sio big deal - yaani, ukila ukishiba unawapa mbwa.
Kabisa mkuu sisi hivi vitu ni vya kawaida sana kila mtu anaweza kujihudumia tena me nakumbuka wazee wetu kule vijijini huwa hawali kabisa kiporo chochote wanasema ni cha watoto wadogo. Tanzania ni blessed Land.
 
Back
Top Bottom