chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
😂😂😂😂😂Huwa nacheka sn wanapoanza kujilinganisha na Tz kwenye mtandao wa lami, yn Kenya ishindane na Tz kwenye mtandao wa lami? Nchi kubwa mara mbili ya kanchi kao na bado miji yote inafikika kwa lami alafu uje ulinganishe Tz na Kenya kwa kuangalia vi data vya miaka 20 iliyopita![]()
90% ni uozo bora za changarawe



