Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks for accepting that Kenyans control Tanzanian economy.
You are our market
Screenshot_20220515-220241.jpg
 
Technically yupo Kenya kwa sababu za kikazi, sio kama Wakunya waliojazana Tanzania na mikamera yao kila kona wakishangaa maisha ya Watanzania which they never dreamed of!

Wasikilize hasa Wakunya wapo kwenye mitaa ya watu wa hali ya chini Dar lakini wanasema those people look and live richly/standards of living is high🤣


Njaa mbaya sana, yaani wanafikiria kuweka ugali kwenye friji🤣🤣🤣🤣

Dah!

Njaa mbaya sana, jamaa awachezi na chakula, mimi sijawahi kula hata rice toka kwenye friji, imagine, Kenyans na ugali kwenye friji 🤣
 
Njaa mbaya sana, yaani wanafikiria kuweka ugali kwenye friji🤣🤣🤣🤣

Dah!

Njaa mbaya sana, jamaa awachezi na chakula, mimi sijawahi kula hata rice toka kwenye friji, imagine, Kenyans na ugali kwenye friji 🤣
🤣🤣🤣🤣 Wana hesabu kali aisee mpaka huruma

Thinking about eating frozen ugali 🥶🥶🥶

Haingii akilini kabisa, hata kula ugali uliolala kwenye nyumba nyingi za kitanzania hilo halipo kabisa, ugali ukibaki lazima utupwe na sababu nyumba nyingi za kitanzania zina mifugo mara nyingi hupewa mbwa au kuku

Wakunya wanapiga hesabu kali hapo kinoma 😂😂😂😂

We take things for granted a lot!
 
Mind your line bwanamdogo, unatoka kwenye poor city , uko na uharo na unajivimbisha hapautajiharia
Unless you forgot. But worry no more, I'm here to remind you where your precious Dar is slum belongs.

tapatalk_1651168720993.png
 
Back
Top Bottom