Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Itawachukua miaka 50 kufika level ya Tanzania kwenye mtandao wa barabara
Miaka 50 na Dar hata haina paved roads, sembuse vijijini. 🤣 🤣 🤣

TanRoads PDF overview map of roads in Dar Es Salaam | Tanzania GIS User  Group
 
Kuna County moja juzi ndio kwa mara ya kwanza wamepata lami na several 4 lanes meters zimekatisha kwenye kamji kao ikawa talk of the region,

Wakaanza kubrag mambo ya devolution and blah blah blah wakati Tanzania tuna unpopular towns with great road standards lakini zipo kimya tu

Hapa wakenya nataka mjifunze mambo makuu matatu,
1 ni street lights kwenye barabara zenu
2 beautification of trees along your street
3 planing

Shinyanga though ni unpopular town lakini inaweza kukalisha miji mikubwa Kenya kwenye hizo hints 3 muhimu

Unajua maana ya neno unpopular kweli? Mbona unasema kwamba Shinyanga ni unpopular? Ama ulimaanisha kwamba Shinyanga ni sparsely populated? Unpopular ina maana tofauti, maana yake ni mtu au kitu kinachodharauliwa, yaani kisichopendwa.
 
Ha ha ha unpopular ni kitu gani? Kiswahili popular ni maarufu,unpopular kinyume chake.
 
Wakunya mnaona sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia? Angalia road ilivyo na ubora na imejengwa na kampuni ya kizalendo, see the one and only express way with BRT lanes in East and Central Africa. Wakenya mtafika hapa mwaka 2500 mkiwa hoi sana
IMG_7194.jpg
IMG_7182.jpg
IMG_7186.jpg
 
Dude kuwa serious? Nani kakudanganya kuwa Dar main roads tu ndio ziko paved? DMDP imeweka lami hadi uswahili ndani ndani kabisa. Hata kabla ya DMDP mitaa mingi tu midogo ilikuwa paved.
Kama masaki and surrounding neighborhoods kuna unpaved roads na ndio kwa mabwenyenye. Uswazi je?
 
Dude kuwa serious? Nani kakudanganya kuwa Dar main roads tu ndio ziko paved? DMDP imeweka lami hadi uswahili ndani ndani kabisa. Hata kabla ya DMDP mitaa mingi tu midogo ilikuwa paved.
Hamna. Dar naweza zoom area kubwa kama hii nisione paved road hata moja na huo ndio mji mkii. Huwezi pata upuzi kama huu Nairobi.
 
Back
Top Bottom