Dah mkuu una macho sana.Afu huyu jamaa alikuwaga mkuu wa mkoa wa mtwara..kumbe saiz yupo TRC
View attachment 2220289
View attachment 2220286
View attachment 2220291
Huyu hajui kabisa tabu za wananchi,uwa anajifikiria mwenyewe tu,kosa kubwa kwa ni kumpa huyu jamaa hii wizara
Kama ninavyosemaga wakunya wamekaririshwa vizuri vipo kwao tu,wapumbavu sana aisee!kwani fun city iko kenya??πππ
Achana nae huyo hiyo picha ya train ya silver and blue sio train ya Tanzania sisi tumeagiza train coaches from korea and Germany ambazo zitavutwa na locomotives. Train za electric multiple units za push pull type hizo zimeagizwa kutoka Hyundai. Hivyo wakenya wanajifurahisha kwa picha ambazo sio zetu wao wakae mkao wa kula tuu vyuma vitashuka muda sio mrefu.Bado naona ya kwetu ni poa kabisa. Achana na hizo za fun faces.
Ya kwetu pia ni handsome.
[emoji16] ππ
Halafu kuna ile nyingine ya Magoneni pia lango la jiji.Kila siku tunasema 60% ya Dar bado haijawa exploited here on JF, ushahidi ni huu
Acha ujinga hiyo sio train yetu na hatuja order train kama hiyo ila kama unataka kujifurahisha sawa.Hiki ni kile kichwa cha bata mliodanganywa kwamba kimeagizwa ila hali halisi kwa ground ni hii
View attachment 2220753
Hakuna ni coaches 59 tuu full ACHuo mkataba wa korea wakwanza hakuna vichwa vya sgr
Wakenya kila kitu kipo kwenu[emoji28]Unapost 2 videos za Kenya eti ni Dar. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tunakuozesha hyo bure[emoji23]batoto bacongo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7] [emoji3094][emoji3094][emoji3094] hii kitu hii... hii... hiii... View attachment 2221128
Una quote Russia Times (RT) and then you mock him for quoting CNN.
ππππππNa huo ukweli ndio hii hapa. View attachment 2220478
Duuuuh π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mtu ambaye hajatairi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
What is 40% of Kenyans? Ukishafanya hesabu yako linganisha na 28 million people who wallow in extreme poverty in your countryππππππView attachment 2221262
Hawa nao wana umeme!Wanaishi maisha ya Ujima Sana hawa jamaa, hivi Kenya Ina tofauti gani na South Sudan?, Very primitive life
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hamna vichwa toka Philippines TRC imenunua! Labda ungesema Malaysia!Tony254 sisi tumeagiza brand tofautitofauti kutoka nchi tofautitofauti so mpaka zote zinakuja itakua mtu tanachagua apande ipi sio eti brand moja kwa train zote haipendezi. Na hili swala lipo hadi kwenye MGR ambapo hatutumii brand moja na juzijuzi tumeongeza vichwa kutoka Philippines
Same way kwenye ndege tuna airbus, Boeing na dash 8