Hahaha noma sana kiongozi..umenifanya nicheke sana man...
Sasa hawa jamaa wanatuona eti hatuna maisha kama wao...mimi nacheka sana humu...alafu Watz wengi kwenye hili jamvi ni watafutaji haswaa na shule ipo...usikae kinyonge namna iyo mkuu
Ukiwa na ng'ombe zizini wewe una hesabu tu zimetoka ngapi na zimerudi ngapi.. Ni kuzikamua tu hakuna namna.jayden hanaga habari nao
![]()
Yet its the only nation with dollar billionaire right? How come your corrupt leaders buy helcopters and your so happy about it? Wakati unakula mafiii na kulala chini ya flyovers...Entire Tanzania has less than 5 helicopters.


Lakin hadi leo Japan ni developed while China is developing..gdp per capita ya Japan ni kubwa zaidi×4 ya China...Japan imeshaendelea considering wako 125M kua na gdp la karibu 5trillions sio jambo la mchezo...hao jamaa ni matajiri balaa...Tokyo pekee yake ni tajiri kushinda any city ya wachina ,Usifanye mchezo na JapanLolote linawezekana huwezi amini kama kuna nyakati Japan alikuwa juu ya China na alishawahi mnyanyasa sana mchina kijeshi lakini leo kaachwa mbali.Hii itatokea soon Tz itaibwaga Kenya
Kikatiba Raia wa kuomba hawezi kuwa Rais wa nchi ya Tanzania! Rais Lazma azaliwe na mama wa Kitanzania na ndani ya mipaka ya Tanzania!Sasa hapo ujaelewa nini? nani kasema kuwa utakuwa raiawewe ujaelewa kuhusu uraia wa moja kwa moja na uraia wa kuombwa hayo yaliyo andikwa kwenye katiba yana fafanua uraia wa moja kwa moja ila kwenye swala la uraia wa kuombwa ni tofauti hata baba na mama yako wakiwa siyo watz unaweza kuomba na kupewa kama wanavyo pewa wachezaji wa mpira hapa tz ,tatizo IQ yako ndogo ndiyo maana unachanganya madesa kuhusu hiyo katiba
Now do Bagamoyo![]()
![]()
![]()
Sidhani kama ni sawa, tulijjiengea heshima kwa kutokuwa wabinafsi ni bora tuendelea hivyo hivyo halafu sasa mambo mengine tufanye wenyewe kujenga uchumi wetu.Nadhani wanataka kutoa ile verse ya Mungu ibariki Afrika.
Tanzania is a village in southern Kenya. 🤣 🤣 🤣
Inashangaza sana kwa kweli.Ngoja tuone wanakujajeMm hata siwaelewi kuna mambo muhimu ya kushungulikia wao wako bize na wimboo wa taifa
Miaka 35 bado anasoma na hana kazi, wenzie kwa miaka aliyonayo huwa wanakuwa wanasoma but in service, yeye hapo ana volunteerDaah hii siku ionaizo dressing code namna gani au jamaa Ana volunteer







Na huko Kunyaland...
Ila pia Amari ameamua kutuchangamsha tuumenifanya nicheke sana man...
Sasa hawa jamaa wanatuona eti hatuna maisha kama wao...mimi nacheka sana humu...alafu Watz wengi kwenye hili jamvi ni watafutaji haswaa na shule ipo...usikae kinyonge namna iyo mkuu



