Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

720k tonnes will pass via ports in a year
that is 30,000 TEUs
coal cargo alone is more than what Lamu port handles!


Kenya’s second commercial port in Lamu was meant to boost operations but 11 months after launch, the facility has only been able to handle 11 vessels, with throughput of 1,821 twenty-foot equivalent units (TEUs), according to Kenya Port Authority’s (KPA) data.

CC: dyfre, IamLee , Teargas n Tony254
 
Lakin hadi leo Japan ni developed while China is developing..gdp per capita ya Japan ni kubwa zaidi×4 ya China...Japan imeshaendelea considering wako 125M kua na gdp la karibu 5trillions sio jambo la mchezo...hao jamaa ni matajiri balaa...Tokyo pekee yake ni tajiri kushinda any city ya wachina ,Usifanye mchezo na Japan
Wacha mchozo kijana, Japan si chochote mbele ya China acha kujiongopea.. sijui GDP per capita sijui nini weka pembeni, shuka ground alaf uone kama huyo Japan and US combined kama wanatia pua zao . karibu dunia nzima nowdays inajengwa na mchina
 
Tanzania is a village in southern Kenya.

Haya mambo Tz ilifanya kitambo sana enzi hizo bongo fleva ndio inakuwa but kwa ss hatuna mpango nao, mapromota waliona wanapata hasara baada ya kugundua ukimuweka Rihanna taifa kwa kiingilio cha shilingi 5000 alafu ukamuweka Diamond Mlimani City kwa kiingilio cha 100,000 Rihanna hapati watu.
 
Ngojea kazi iishe kabla uongee.
Lini mlimaliza kazi? Hii vp nayo tungojee iishe?
JamiiForums-843051110.jpg
 
According to google. Google ni kampuni inayoheshimika kwa hivyo huwezi kupuuza data wanayotoa kuhusu jinsi watu wanavyotumia site yao. Wao wana data kuhusu ni kitu gani wewe unasearch sasa hivi.
Kwahiyo kila kinachowekwa Google ni cha kweli.
 
Mkuu, haya ni Mambo mawili tofauti kidogo, GDP inahusiana na uwezo wa serikali kufanya Mambo makubwa, wakati GDP per Capita ni uwezo wa wananchi binafsi.

Nchi Kama nchi, China ipo juu Sana katika uwezo wa kiuchumi, yaani serikali ya China inaweza na Ina nguvu kubwa ya kufanya miradi mikubwa Kama vile ujenzi wa miundombinu mikubwa na kuimarisha jeshi lao kuliko Japan, serikali ya China hukusanya 20% ya GDP Yao kila mwaka Kama Kodi, GDP ya China ni $15trl.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Japani ni nchi tajiri kuzidi China kea kila kitu
 
Wacha mchozo kijana, Japan si chochote mbele ya China acha kujiongopea.. sijui GDP per capita sijui nini weka pembeni, shuka ground alaf uone kama huyo Japan and US combined kama wanatia pua zao . karibu dunia nzima nowdays inajengwa na mchina
Apa ndio umeongea kitu gani?ni aibu mtu kama wewe kuongea pumba kama hizi
 
Magufuli thought he would live forever, Kenyans are back to doing what they do best in Tanzania. Vodacom pia naona wakisearch a new Director, that spot is left for Kenyans

Shout out to our lady Beatrice Nyamari😍

1652246359443.jpg
 
Back
Top Bottom