ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Asante kwa kutuonesha big white elephantNasubiri jengo hili kwa hamu sana...ichoboy mkuu vipi kuhusu projct za Dar?![]()
![]()
![]()
![]()
lol! huwa unachekesha sana bro...hizo project wafanyakazi wako 'on site' pamja na contractor..tumia Google kidogo upunguze ushamba...ila pengine nikuchanue kidogo mkuu pengine huelewi maana ya hilo neno...white elephant tunaita project kama SGR tz na Bagamoyo port ambazo licha ya kwamba ni bei ghali mno, hazitaweza kuleta umuhimu wowote kwa nchi....huyo ndio tembo mweupe...Asante kwa kutuonesha big white elephant
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sice 2014 to date 😛😛😛😛
Itabaki renders kama tatu city na nyinginezo
Kuhusu dar sasa hvi tunajenga kawe city huku tunakamilisha ujenzi wa 711 na morocco square na nyinginezo
kwa taarifa yako shilingi ilipoteza thamani kwa 0.23% only....now compare that to the TSH...lol! heri hata za zimbabwe
amekupa chakula cha jioni ama amemsaidia vipi mtz wa kawaida maskini hohehahe?😀😀 by th way, vipi kuhusu kaka Magu? bado hajamkamata Lowassa na kumtia ndani ili afinywe finywe?😀😀
Hahah wako site since 2014 wanachimba tu maana hatuoni outcomes....endele bro kutuonesha renders😀😀😀😀😀lol! huwa unachekesha sana bro...hizo project wafanyakazi wako 'on site' pamja na contractor..tumia Google kidogo upunguze ushamba...ila pengine nikuchanue kidogo mkuu pengine huelewi maana ya hilo neno...white elephant tunaita project kama SGR tz na Bagamoyo port ambazo licha ya kwamba ni bei ghali mno, hazitaweza kuleta umuhimu wowote kwa nchi....huyo ndio tembo mweupe...
white elephant sio project ambazo ziko njiani hata kama zinakwenda pole pole...
bagamoyo port white elephant - Пошук Google
Soma taarifa kwanza wacha kwenda racekwa taarifa yako shilingi ilipoteza thamani kwa 0.23% only....now compare that to the TSH...lol! heri hata za zimbabwe
Lowasa ashastaafu anakula bata tu...amekupa chakula cha jioni ama amemsaidia vipi mtz wa kawaida maskini hohehahe?😀😀 by th way, vipi kuhusu kaka Magu? bado hajamkamata Lowassa na kumtia ndani ili afinywe finywe?😀😀
hakuna jinsi imebidi tu mvuke boda mje tanzania kujifunza kuhusu BRT yetu.Kwa nini Watanzania Tunahusudu mambo ya Kenya kuliko nchi nyingine EA
naona Tanzanians not in denial kwa hii thread
no bab'kubwa