Antenna Babylon city , ukiona picha yoyote ya jengo half antenna half building ujue apo Nairobi Kenya, poor Kenyans fooling themselves kwamba majengo yao marefu kwa kuya weka antenna
spensa_e
Antenna Babylon city , ukiona picha yoyote ya jengo half antenna half building ujue apo Nairobi Kenya, poor Kenyans fooling themselves kwamba majengo yao marefu kwa kuya weka antenna
Hahaha what abt zanzibarMombasa is the most beautiful city in Africa
![]()
Hehe!!, Kuliko cape town!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mombasa is the most beautiful city in Africa
![]()
Kisii fananisha na shinyanga au mtwaraleteni sasa battle ya ARUSHA VS KISII
Acha kufananisha Arusha na vitu vya Kijingaleteni sasa battle ya ARUSHA VS KISII
Kisii ndio wapi mkuu ?embu fafanua kidogoICHOBOYO1....wewe kubali na battle ianze.i know that for now arusha can't compete with today's kisii period!!
Kwanza yaonesha wewe ni mgeni jamii forumICHOBOYO1....wewe kubali na battle ianze.i know that for now arusha can't compete with today's kisii period!!
Kisii ni kijiji flani kiko katikati ya migori, kisumu na nakuru
Embu wafungue tupaone maana I'm sure haiwez zidi chugaKisii ni kijiji flani kiko katikati ya migori, kisumu na nakuru
Haiwezi ni kijiji kidogo sana tena sana yani hata mtwara ni kubwa...